Tetesi: Katibu Mkuu CCM, Kinana kujiuzulu Novemba 2016?

Tetesi: Katibu Mkuu CCM, Kinana kujiuzulu Novemba 2016?

Status
Not open for further replies.

nkanga chief

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2016
Posts
2,084
Reaction score
1,622
Katibu mkuu CCM taifa Kinana anatarajia kujiuzulu mwezi Novemba mwaka huu ambapo mkutano mkuu wa NEC taifa utakaa amesema hayo kufatana na kutoridhishwa na mwenendo wanaofanyika ndani ya chama kutomridhisha.

Alisema muda wingi amekuwa akitoa ushauri lakini haufanyiwi kazi amedai kuwa kuna matatizo mengi ameyafikisha kwenye serikali likiwepo la kusimamishwa ajira waajiriwa wapya walioajiriwa May 2016 lakini halijafanyiwa kazi alidai ameiomba serikali kutatua hatima ya hawa wahanga lakini haijafanya hivyo alisema na migogoro ya watumishi wa umma kuhusu madai hayo na matatizo mbalimbali ambayo jamii inakabiliwa bado hayatekelezwi amedai na amesema hayo ameomba kuachia ngazi ili kuwapa nafasi wengine wajaribu kuongoza hicho chama cha ccm.

Chanzo: Mwanahalisi
dcdb0ef5e5f3ebe3f460df9df758a7af.jpg
 
mengi yanakuja subirini muone naskia hata yule masai mpiga domo wao nae yuko mbioni.....
 
amekaa sana kwenye hiyo nafasi kwa hiyo ni sawa tu ajiuzuru ili aje mwengine nae apate huo ulaji wa ukatibu mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom