Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika: Wapi alipo Rais wetu?

Uko sahihi yote ambayo umeandika point
 
Tukiwambia kuwa wapinzani hamana akili mnakataa. Sasa mmelishwa matango poli.Lissu chaliiii.hahahaa.Kichaa ni wewe unayeokoteza taarifa za uongo mithiri ya kichaa aokotezaye makombo.
 
Tunataka Serikali itwambie Rais Magufuli yupo wapi na anahali gani, kwani kwa mujibu wa katiba wananchi tuna haki ya kupata habari rais yupo wapi, kwani ameajiriwa na wananchi kisheria.

Mh. John Mnyika
Kwan wanakubari kuwa ni rais
 
Makamu Mwenyekiti alishaeleza mpaka BBC nk. Kwanini kiongozi wa chini unataka kumpinga mkuu wako.
 
To be honest CHADEMA iachane na siasa nyepesi!! Yaani kikao kilijadili taarifa za mitandaoni? What if ikiwa false?

CDM mnapoteza dira.
hawa jamaa niliwadharau tangu kipindi kile walichomkaribisha lowassa na kusema atakuja na wapiga kura mil 6
 
Kama ni kweli, kama ninavyoamini, kwamba hajaenda kutibiwa Kenya kama habari zinavyosambaa; unauchukuliaje ukimya wa serikali ya Kenya juu ya uvumi huu? Proof of animosity between these neighbors?!
Kama serikali, sidhani kuwa Kenya wangeweza kusema lolote juu ya tetesi zile kuwa wanaye mgonjwa, au hata kukanusha tu tetesi..., wangeanzia wapi?

Kuhusu 'animosity' hilo halina ubishi.

Kenya wange'score' sana kwa kuwepo Magufuli kwao, na tukio hili wangelitumia sana kwa manufaa yao.
 
Hapo walipo wanatamani wamnyanyue wamsimamishe na ule mti wa kuzuia Mgomba usielemewe na mkungu wa ndizi kisha wamchukue video clip akipiga biti kwamba 'kama huna jero la kulipia baki na M.A.V.I yako nyumbani kwako'
 
si mnasema anaumwa.mnataka nini tena?
Wengine mnasema ameshakufa.
Tunataka Serikali itwambie Rais Magufuli yupo wapi na anahali gani, kwani kwa mujibu wa katiba wananchi tuna haki ya kupata habari rais yupo wapi, kwani ameajiriwa na wananchi kisheria.

Mh. John Mnyika
 
Tunataka Serikali itwambie Rais Magufuli yupo wapi na anahali gani, kwani kwa mujibu wa katiba wananchi tuna haki ya kupata habari rais yupo wapi, kwani ameajiriwa na wananchi kisheria.

Mh. John Mnyika
Ha ha ha ha ha chama cha Mbowe mapunguani kweli kweli.
 
Kwani Joe biden yuko wapi maana na yeye cmckii kama trump akivyokua anackika
 
hawa jamaa niliwadharau tangu kipindi kile walichomkaribisha lowassa na kusema atakuja na wapiga kura mil 6
Mimi mpaka leo nawashukuru kwa waliyofanya 2015. Ilitusaidia kuwafahamu vyema ni watu wa aina gani na malengo yao ni yapi.
 
Hivi CHADEMA inaulizia Rais Mbowe au wa Jamhuri? Maana kama ni JMT nnafikiri walishatangaza wazi hawamtambui
 
Vipi si mlisema yuko India amerudi lini tena??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…