4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Swali zuri ,wapi alipo mkuu wa nchi,juzi nilisema ,sie wananchi tusio kuwa na kichwa Wala miguu,tunaamini mh rais yupo na anaendelea na majukum yake ya kitaifa ,SasaWAPI ALIPO RAIS WETU?
"Jana usiku viongozi wakuu wa Chama tukiongozwa na mwenyekiti Mhe. Freeman Mbowe tulifanya kikao cha kimtandao, Kama mjuavyo baadhi ya viongozi wetu wapo nje ya nchi kwa sasa, tulitafakari mambo mbalimbali." Mhe. John Mnyika
"Kati ya swala ambalo tulitafakari na kulifanyia maamuzi jana ni hii sintofahamu inayoendelea kwenye mitandao ya kijamii ambayo vile vile ikiandikwa ama kurushwa na vyombo vya habari vya nje ya nchi kuhusu wapi alipo Rais John Magufuli na yupo katika hali gani." Mhe. John Mnyika Katibu mkuu CHADEMA
View attachment 1723546
Hole wenu mjiitao system ,hata Kama ya mziki, umeme,n.k nje na ngojela kwamba Kuna tatizo, tutaelewana, ,alipo popote aje akiwa na afya tele, hapo sawa vinginevyo patachimbika hapa.
Tumekubali kwamba kiongonzi wa nchi ni rahia no 1 na tutamheshim japo mapungufu yake atakayokua nayo so far ni binadam ,hawe anaumwa au la ,awe na matatizo au la maana ni kiongonzi wangu nje ya itikadi ya din,chama, n.k
Sasa jifurahishe Mbatizaji anasema.
Thanks, but najua mh rais yupo na majukum ya kitaifa na si vinginevyo ,na tofauti na Iyo hatutaelewana, maana mmeninyima haki ya kujua mfanyakazi wangu yu wapi, nami Sina shida najua yu salama,