Mcheza Viduku
JF-Expert Member
- Jun 24, 2020
- 1,111
- 2,754
Shemeji hawamfikii kwa kufanyaje?Mawaziri wenu wote hawamfikii Mnyika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shemeji hawamfikii kwa kufanyaje?Mawaziri wenu wote hawamfikii Mnyika.
Asiwe mchoyo, akugawie kidogo 😂😂😂tena baki nayo nyumbani kwako
Chama kinapoteza nguvu zake za enzi ya Dr Slaa.To be honest CHADEMA iachane na siasa nyepesi!! Yaani kikao kilijadili taarifa za mitandaoni? What if ikiwa false?
CDM mnapoteza dira.
Lissu anafahamu aliko. Yeye ndiye aliyeanzisha ......WAPI ALIPO RAIS WETU?
"Jana usiku viongozi wakuu wa Chama tukiongozwa na mwenyekiti Mhe. Freeman Mbowe tulifanya kikao cha kimtandao, Kama mjuavyo baadhi ya viongozi wetu wapo nje ya nchi kwa sasa, tulitafakari mambo mbalimbali." Mhe. John Mnyika
"Kati ya swala ambalo tulitafakari na kulifanyia maamuzi jana ni hii sintofahamu inayoendelea kwenye mitandao ya kijamii ambayo vile vile ikiandikwa ama kurushwa na vyombo vya habari vya nje ya nchi kuhusu wapi alipo Rais John Magufuli na yupo katika hali gani." Mhe. John Mnyika Katibu mkuu CHADEMA
View attachment 1723546
Huo ni unafiki mntakari kwa lipi eti Raisi yuko wapi? wakati nyie ndo number moja kumuombea mabaya fanyeni kazi ya kufufua chama chenu na kumaliza migogoro yenu na akina Halima mdee hamna jipya nyie wanafiki wakubwaWAPI ALIPO RAIS WETU?
"Jana usiku viongozi wakuu wa Chama tukiongozwa na mwenyekiti Mhe. Freeman Mbowe tulifanya kikao cha kimtandao, Kama mjuavyo baadhi ya viongozi wetu wapo nje ya nchi kwa sasa, tulitafakari mambo mbalimbali." Mhe. John Mnyika
"Kati ya swala ambalo tulitafakari na kulifanyia maamuzi jana ni hii sintofahamu inayoendelea kwenye mitandao ya kijamii ambayo vile vile ikiandikwa ama kurushwa na vyombo vya habari vya nje ya nchi kuhusu wapi alipo Rais John Magufuli na yupo katika hali gani." Mhe. John Mnyika Katibu mkuu CHADEMA
View attachment 1723546
Lisu Pumbafu kabisa hana jipyaaa...naona waume zake huko ubelgiji kawachoka hahahaha anatafuta kiki ya kurudi TzLissu anafahamu aliko. Yeye ndiye aliyeanzisha ......
The unspecified report bears similar sentiments saying Tanzania would never consider Kenya as a possible destination for the president’s treatment.
So it goes, quoting an anonymous former presidential advisor: “We would never take a president to Kenya for medical treatment during a trade war… They would get all the information on the president’s condition and leak all the details or use it against you. They would never take him to Kenya – he doesn’t like Kenyans. The intelligence agents managing this don’t like Kenyans – they don’t even share intelligence.”
Surprisingly, an almost similar reason had previously been availed to SAUTI KUBWA in an attempt to explain the possible evacuation of the president from Nairobi to India. The sources had cited political and intelligence concerns.
What many sources unanimously agree on so far is Magufuli COVID-19 condition that exacerbated his existing cardiac complications. Magufuli, who is known to have a pacemaker, was developing signs of heart failure, the report says.
It claims that very few people know the president’s whereabouts so far and that all information and the management of its flow is in the hands of TISS.
It is understood that vice president Samia Suluhu has been in-charge of the presidency since 6th March when she was hurriedly called in from Zanzibar under tight security. On Tuesday this week she presided over a cabinet meeting for the first time since Magufuli took power in 2015. No mention was made of the president, and no minister enquired about him as the meeting deliberated on the 2021/22 budget discussions. The facts, reported in SAUTI KUBWA’s earlier story, were confirmed by the report.
Tanzania's government under pressure to disclose whereabouts of President Pombe Magufuli
Sijui ni lugha inayotumika kwe hizo habari ndo zinamfanya achanganyikiwe au nnI
Dear sister, for how long, will you post both unspecified reports and rumors ?Your husband Tindu was also trying to post unspecified reports, few days ago.Willy you kindly please post to us confirmed report, not those bla bla statement.
Martin Luther King Junior is one of the most important person ever lived on this planet. He's among the people who shaped the planet. R.I.P. Junior!!
As if I careKupitia hili Saga, nimekushusha sana wewe dada! Nilikua nakuona wa maana kumbe mpuuzi.
Umeshupalia kifo kwa mtu kana kwamba utaishi milele.
CCM na JPM siwapendi ila sio level ya kumwombea kifo.
Are you sure??According to the source, he is making a progressive recovery, though the impact of an attack on his health means he can not continue to run the office.
Nimebaki nayo kwa STAHA kabisa, na NAHAMUKA nayo. Mimi nani mpaka nibishe.Tena baki nayo nyumbani kwako