issac77
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,128
- 7,899
Akirudi ana kuta barua mezani ya uhamisho kwenda swekeni kama sio tukuyu Au huko nkasi basi mabamba mpakani na burundi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akirudi ana kuta barua mezani ya uhamisho kwenda swekeni kama sio tukuyu Au huko nkasi basi mabamba mpakani na burundi
Una hakika kaiba shilingi ngapi? Ukiitwa kwenda kutoa ushahidi mahakamani utaenda? Punguza utoto ikiwa huwezi kuacha kabisa. Mtu kagoma kwenda kazini tangu tarehe 1 had leo ni tarehe 18 kwanini wasimfukuze wakati sheria ziko wazi? Serikali ya CCM na vibaraka wake mna matatizo sio bure!Ni mpuuzi, anadhani kama alikua na ubabe wake kwa waliokua chini yake ndio utafanya kazi kila sehemu??
Kwa namna yoyote hii game haitaisha vizuri upande wake...
Kuiba kaiba, haina ubishi, anachotafta ni kufukuliwa makaburi..
Lakini hata wakiamua wamkomeshe kibabe pia hawashindi.
Inaruhusiwa mkuu. Uanachama wa chama cha wafanyakazi ni hiyari.Mimi nadhani kudili na CWT ni serikali kuruhusu walimu wajitoe tu,hawa watu wanalinga kwa michango yetu , I hate #CWT
Nchi hii ufalla unaanzia nyumba nyeupeWameamua kumkomalia kisa kukataa teuzi,sio kila mtu ni mtumwa wa teuzi,waache ushamba.
Anatakiwa kufuata taratibu tu. Usipofuata sheria na kanuni zitakuumbua tu. Hapo hakuna ushamba wowote. Kama ni ushamba anafanya huyo aliyekuwa CWTWameamua kumkomalia kisa kukataa teuzi,sio kila mtu ni mtumwa wa teuzi,waache ushamba.
Umeshatafuta ukweli wa huyo Dinna? Pengine bado ana mkataba na CWT, hawawezi kumfanya chochote. Ndiyo sababu hata huyo Maganga alivyokataa uteuzi Feb 2023 hawakuweza kufanya chochote mpaka Mkataba wake na CWT ulivyoisha September 2023 alivyoomba tena wakamnyima na kutakiwa kurudi kituo chake cha kazi.Mbona huyo Dinna waliyegoma naye kwenda kuapishwa yeye haadhibiwi? Hii ni double standard. Nchi ya kipuuzi sana hii inayopenda kulipiza kisasi ndio maana imelaaniwa kwa sababu za kishetani kama hizi.
Hawezi kuwaburuza mahakamani. Yeye kashika makali yatamkata.Sasa akama amekataa uteuzi kwa sababu hiyo na amegoma kwenda kazini adhabu yake auawe au afukuzwe kazi? Hebu tuambie sheria za kazi zinasemaje? Kutorudi kazini kwa mujibu wa sheria kuna uhusiano gani na ung'ombe wake na maokoto ya CWT?
Ameishajua mahali serikali walikosea naye anawatega wamfute kazi awaburuze mahakamani. Uidhani yeye bwege kama yalivyo mabwege ya CCM.
Shule ulienda kusomea ujinga ,unazani kila mtu ni mwizi kwanini hamtaki kutafuta ukweli mnakua kama hamna vichwa ..Huyo achunguzwe, hawezi kuwa na kiburi cha kiwango hicho kama hajapiga pesa nyingi za CWT.
Maswahili akipata...
Tukuyu sio sweken.Akirudi ana kuta barua mezani ya uhamisho kwenda swekeni kama sio tukuyu Au huko nkasi basi mabamba mpakani na burundi 😂😂😂
Naona unaropoka ushuzi tu. Huyo akitumiwa TAKUKURU watamkuta tu na kesi ya kujibu. Usimjaze kiburi akaja kujuta. Na akizidi kuleta ujuaji anaweza kupewa likesi akahangaika nalo hata miaka mitano halafu baadae DPP akasema hana nia ya kuendelea na kesi mchezo ukaishia hapo huku akiwa ameshatepeta.Sasa akama amekataa uteuzi kwa sababu hiyo na amegoma kwenda kazini adhabu yake auawe au afukuzwe kazi? Hebu tuambie sheria za kazi zinasemaje? Kutorudi kazini kwa mujibu wa sheria kuna uhusiano gani na ung'ombe wake na maokoto ya CWT?
Ameishajua mahali serikali walikosea naye anawatega wamfute kazi awaburuze mahakamani. Uidhani yeye bwege kama yalivyo mabwege ya CCM.
👏👏👏Halmashauri ya Manispaa ya Temeke imeanza mchakato wa kufungua shauri la nidhamu dhidi ya Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Japhet Maganga baada ya kutorejea katika kituo chake cha kazi tangu alipotakiwa kufanya hivyo Oktoba Mosi mwaka huu.
Maganga ambaye cheo chake ni Mwalimu Mwandamizi katika Manispaa ya Temeke, aliomba kibali cha kuazimwa kuitumikia CWT Agosti 2017 hadi Septemba 30, 2020, akaomba tena Juni 1, 2020 na kumalizika Septemba 30, 2023, na baadaye aliomba kibali hicho kwa mara ya tatu lakini Katibu Mkuu UTUMISHI hakuridhia maombi hayo na kumtaka kurejea kwenye kituo chake cha kazi cha awali.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Elihuruma Mabelya amesema Maganga ni mtumishi wa Temeke na alitakiwa kuripoti kazini kama alivyotakiwa katika tangazo la wito, lakini hadi sasa hajaripoti, hivyo kinachofanyika ni kuchukua hatua za kinidhamu dhidi yake.
"Yule ni mtumishi wa Serikali hapaswi kuigomea Serikali, sisi tunachojua yeye ni mtumishi wetu, kule aliko kibali kimeisha sio tena sehemu yake ya kazi, amesema.
Maganga alichaguliwa Desemba 2022 na Mkutano Mkuu wa CWT kuwa Katibu Mkuu akichukua nafasi ya Deus Seif
ambapo awali alikwa akitumikia nafasi ya Naibu Katibu Mkuu.
Mnamo Januari 25, mwaka huu, Maganga, Makamu wa Rais wa CWT, Dinna Mathaman na Rais wa CWT, Leah Ulaya waliteuliwa na Rais Samia Suluhu kuwa Wakuu wa Wilaya lakini Maganga na Mathaman hawakufika kuapa.
Swahili Times.
Pia soma:
Yes!! Alafu ni aibu. Serikali kutetereshwa na mtu mmoja ni aibu.HATAKI.
Kuendelea kumkomalia ni kujivua Nguo, na kujifitinisha na walimu.
Hana kosa...Huyo inatakiwa wasiishie hapo, awe mfano kwa wengine wenye tabia kama zake.
Wameamua kumkomalia kisa kukataa teuzi,sio kila mtu ni mtumwa wa teuzi,waache ushamba.
Ndiyo ufanyike uchunguzo ijulikane analo au hana kosa.Hana kosa...
Achunguzwe ujulikane ukweli, CWT kuna pesa za Walimu wengi sana na kuna madudu mengi yamesharipotiwa huko nyuma.Shule ulienda kusomea ujinga ,unazani kila mtu ni mwizi kwanini hamtaki kutafuta ukweli mnakua kama hamna vichwa ..
Kwa akili ya kawaida nani hapa Afrika anaweza kumkatalia Rais abaki salama ,kilichopo kuna genge lilikua CWT walimuweka Katibu mkuu wao ,baadhi yao ni viongozi wanasiasa wakawa wanachota fedha walimu ,
Baadae TAKUKURU Ikastukia ,ikamkamata aliekua Katibu mkuu Seif ambae ndio alikua mshirika wa ilo kundi la wanasiasa akafungwa miezi sita ,akapoteza nafasi ya kuwa katibu mkuu
Maganga alikua Naibu katibu mkuu ,aka panda kwa mujibu wa katiba yao ,ilo genge likaapa lazima wamtoe waweke mtu wao ,kwa namna yoyote yule ,wakatumia nguvu yao wakamchomekea kwenye Udc watu watatu Rais wa CWT, aliekua Makamu wa Rais (alikua mshirika wa ilo genge ) na Katibu mkuu ,
Rais wa CWT na katibu Mkuu wakamuomba Rais wabaki CWT lile kundi lilotaka kumtoa likaona limeshindwa kumtoa ,wakanunua vyombo vya habari kila siku viandike kuwa amemgomea Rais ,wakaona bado hawafaniki
Sasa wakasema watahakikisha hapati kibali cha nyongeza...ili arudi shuleni
Sasa wanaotumika wanashindwa kujua tofauti ya secondment na leave without pay ..
Maganga hana Secondment ana leave without pay
Pia kuwa Katibu mkuu hana ulazima kubaki kuwa mtu mwenye nasaba na serikali
Yeye alichaguliwa na baadae ajira na chama
Jitahidi kusoma sheria za ajira na mahusiano kazini ,mikataba ya kimataifa kutoka ILO 87 ,98
Huyo achunguzwe, lazima kuna madudu kayafanya.Acha umbeya wa kisagaji wewe bibi. Tabia ya kutoenda kazini kwa siku 3 consecutively adhabu yake ni kufukuzwa kazi. Wewe unataka wamuue kama walivyojaribu kumuua Tundu Lissu. Acha use.nge basi.