FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Kama kaiba aelewe tu, hakuna dhulma inayoshinda.Ni mpuuzi, anadhani kama alikua na ubabe wake kwa waliokua chini yake ndio utafanya kazi kila sehemu??
Kwa namna yoyote hii game haitaisha vizuri upande wake...
Kuiba kaiba, haina ubishi, anachotafta ni kufukuliwa makaburi..
Lakini hata wakiamua wamkomeshe kibabe pia hawashindi.