Katibu mkuu CWT agoma kurudi Temeke kufundisha

Kama kaiba aelewe tu, hakuna dhulma inayoshinda.
 
Lazima uheshimu mamlaka, nenda nchi yoyote Ile hii kitu ipo tu.
 
𝐮𝐨𝐧𝐠𝐨𝐳𝐢 𝐧𝐢 𝐤𝐢𝐣𝐢𝐭𝐢
 
Huyu Sio kama hajui, ameamua kujifukuzisha kazi analijua hilo, na hata hao viongozi wanajua,

Issues ni kwamba Jee wataishia hapo?
Soon CAG atakuja na ripoti nzito dhidi ya matumizi mabaya ya ofisi, na uhujumu uchumi. Ajiandae Kwa mawakili wa kumtetea, takukuru, tra watakuwa kwake kila kukicha. Kwa kifupi hana pakutokea huyo.
 
Mbona huyo Dinna waliyegoma naye kwenda kuapishwa yeye haadhibiwi? Hii ni double standard. Nchi ya kipuuzi sana hii inayopenda kulipiza kisasi ndio maana imelaaniwa kwa sababu za kishetani kama hizi.
Tz imelaaniwa tangu lini!? Acha makasiriko na upotoshaji usio na maana
 
Serikali gani ya kuitega, hii ambayo ni mwendo tu wa vimemo, subiri uone anavyotaka kutolewa kamasi Tena ni SukumaGang, Nape lazima acheze naye huyu kwanza kwenye media
 
Ndiyo ufanyike uchunguzo ijulikane analo au hana kosa.
Mwacheni Mwl..acheni kutia Aibu...

Dilini na mambo yenu ya aibu kuifilisi nchi..
Bilioni 75 mlizopiga kipumbavu zinawaondolea uhalali wowote wa kusimamia raia wa nchi hii.
 
Sasa kenge wa serikali wanashsngaa nini! Ualimu hauna maokoto, ni umaskini tu, ana ngangania kubaki kwenye ukatibu kwa kuwa kuna maokoto ya kutosha.
 
Serikali gani ya kuitega, hii ambayo ni mwendo tu wa vimemo, subiri uone anavyotaka kutolewa kamasi Tena ni SukumaGang, Nape lazima acheze naye huyu kwanza kwenye media
Mpuuzi kweli ww..
Hamna kitu mtamfanya.

Siku tano zikishapita hujang'aa kituoni umejifuta kazi..

Mnahangaika nini naye!??
 
Soon CAG atakuja na ripoti nzito dhidi ya matumizi mabaya ya ofisi, na uhujumu uchumi. Ajiandae Kwa mawakili wa kumtetea, takukuru, tra watakuwa kwake kila kukicha. Kwa kifupi hana pakutokea huyo.
Aanze kwanza na hizi Bilioni 75...

CAG wa mchongo.
 
Mpuuzi kweli ww..
Hamna kitu mtamfanya.

Siku tano zikishapita hujang'aa kituoni umejifuta kazi..

Mnahangaika nini naye!??
Haya maneno ya "hamna kitu mtamfanya" yamewaponza wengi sana, mmoja wapo yule mchungaji wa Mbeya, mliitukana Govt na kusema Haina kitu itafanya naye akajaa ujinga, Sasa hivi huyoo kala mvua tatu mmepiga kelele siku mbili tu mnaendelea na maisha yenu uraiani wakati mwenzenu yupo ndani.
Maganga ni mpuuzi lazima afundishwe adabu Ili iwe mfano Kwa wengine.
 
Mwacheni Mwl..acheni kutia Aibu...

Dilini na mambo yenu ya aibu kuifilisi nchi..
Bilioni 75 mlizopiga kipumbavu zinawaondolea uhalali wowote wa kusimamia raia wa nchi hii.
Si ndiyo tunadili nayo hivyo. Au huelewi kuwa huyu ni lazima achunguzwe kwa kuifilisi nchi?
 

[emoji16][emoji16]kwamba aiburuze serikali mahakamani!!!

Anatakiwa aripoti kituoni aendelee na kazi ambayo ni haki yake kisheria huo uteuzi alioukataa na alioukomalia vyote ni mashati ya kuazima.

Nadhani kwa hela alizopiga anaona ni heri aache kazi sio kurudi kufundisha tena.
 
Akirudi ana kuta barua mezani ya uhamisho kwenda swekeni kama sio tukuyu Au huko nkasi basi mabamba mpakani na burundi [emoji23][emoji23][emoji23]
Manyovu hukooo Bujumbura Masaa mawili tu
 

CWT kuna hela za bure ambazo ni kama vile hazina mwenyewe, hazina kuhoji!...


Kila mwezi fungu linaingia mabilioni...

Ila alichokosea maganga... ni kudharau mamlaka ya uteuzi(Raisi)Akikuteua ukakataa.. ni dharau... unapaswa uchunguzwe. WHY umekataa!?

Atauona moto wa TAKUKURU!
 
Nafikiri sheria za utumishi wa umma, usiporejea kazini ndani ya saa 72 bila ruhusa unakuwa umejifukuzisha kazi. Hapo hakuna haja ya kupoteza hela ya walipa kodi kuanza kumzungumzia mtumishi wakati Sheria zipo straight. Afukuzwe kazi serikalini basi
Ila ni kweli nchi ina watu wapumbavu hii!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…