TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

MUANZE KUANDIKA URITHI MAPEMA SASA

NAONA WAUZA MAGARI WAUZZA SPARE WAKIFUNGUA KAMPUNI ZA KUBEBEA GARI ZA MSIBA

SIKU ZA MWISHO ZIMEKARIBIA
WALE WALIOWAKE WATABAKI NA KUSU IRI KUNYAKULIWA

WALE WALIOKUFA WATAFUFUKA NA KUPOKEA MIILI MIPYA...

RIP BALOZI WETU

MAKANISA NA ..KUJAZANA NA WATU

FEB-MAY TUOMBE SANAA WAPENDWA TUOMBE SANA SANA SANA SANA
WATUMISHI WA MUNGU MSSISHIE KUSEMA TU OMBENI KWA AJILI YA NCHIYETU
 
Wezi wa kura na wauwaji wote hawatabaki mpaka april 2021 corona itajibu.
 
Chanjo inafanya kazi kama huna ugonjwa, ukishakua nao haifanyi kazi

Bado inafanya kazi, kwa asilimia kubwa tu Pfizer 95% kuokoa maisha yako, dalili ndogo tu, hujitaji kwenda hospitali. AstraZeneca 62%.

Russian,Chinese, Cuban we don't have enough sample, uwazi, ukweli, enough testing to make any conclusion.
 
IKIWA WATU WANGU WATAZIACHA NJIA ZAO MBAYA NAMI NITAIPONYA NCHI YANGU

MUNGU YUPO KUIPONYA TANZANIA

MALAIKA RAFAYA YUKO KUWAOKOA WATANZANIA TUSIOGOPE TUSIMAME. NA MUNGU

MUNGU ANAHITAJI WACHACHE KUMLILIA KWA AJILI YA NCHIYETU

MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Huo ndio wakati wa godmark funeral director Tanzania kupiga kazi .
 
Mbwa kula matapishi si halamu... Poleni familia ya Mzee Kijazi ... RIP
 
πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”
Balozi John William Kijazi lala salama baba
Inaumaaaaa
Pole sana kwa familia na wote walioguswa na msiba
Tuendelee kuchukua tahadhari huku tukiomba sana Mungu
Pole Tanzania yangu πŸ’”πŸ™
 
Bado inafanya kazi, kwa asilimia kubwa tu Pfizer 95% kuokoa maisha yako, dalili ndogo tu, hujitaji kwenda hospitali. AstraZeneca 62%.

Russian,Chinese, Cuban we don't have enough sample, uwazi, ukweli, enough testing to make any conclusion.
Kwahiyo Baba kapewa vaccine fake?? Mbona mnyikulu ametangia hajupewa chanjo nini?
 
Natamani kuunga hoja yako lakini imejaa shutuma na kutia hofu badala ya kuhamasishana kutii maekekezo ya kujinkinga pasipo shurti.

Pia kudhani Marehemu (RIP) amaondoka kwa ugonjwa huo ni dhana potofu.

Hatua sahihi za kiafya ni kinga badala ya tiba.
 
πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”
Balozi John William Kijazi lala salama baba
Inaumaaaaa
Pole sana kwa familia na wote walioguswa na msiba
Tuendelee kuchukua tahadhari huku tukiomba sana Mungu
Pole Tanzania yangu πŸ’”πŸ™
Hahahaaaa🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Hapana, hakuna corona Tanzania maana tulifanya maombi na Corona ikaondoka nchini. Ngoja kwanza wananchi wajue wanadanganywa kiasi gani na utawala huu.
 
Natamani kuunga hoja yako lakini imejaa shutuma na kutia hofu badala ya kuhamasishana kutii maekekezo ya kujinkinga pasipo shurti.

Pia kudhani Marehemu (RIP) amaondoka kwa ugonjwa huo ni dhana potofu.

Hatua sahihi za kiafya ni kinga badala ya tiba.
Imekula kichwa. Na bado. Walikuwa wanatamba midomo wazi ngoja iwafyeke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…