TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

Kujilinda ni jukumu la mtu binafsi. Ina maana huna sabuni? Huna uwezo wa kununua barakoa ya 500? Huwezi kuweka distance kati yako na mtu mwingine? Unataka Rais akushikie kiboko kufanya hayo? Embu tuwe serious kidogo jamani.
tunataka awe serious na Corona Kama anavyokuaga serious na swala la Kodi

"Kwani nasema uongo ndugu zangu"
 
Naona walichelewa sana. Ilikuwa haijaanza kufnya kazi. Huko Idodomy presha inapanda presha inashuka. Na walivyokuwa wanapumuliana sijui itakuwaje
Nimewaza mbali ndio maana nimemkumbuka waziri wa uchina.....

Naomba nilale ambao tumeelewa tusisahau kujifukiza
 
Kwahiyo Baba kapewa vaccine fake?? Mbona mnyikulu ametangia hajupewa chanjo nini?

Chanjo sio kila kitu inapunguza tu makali ya ugonjwa. Ndio maana hata ukipata chanjo endelea kuchukua hatua, tahadhari, kula vizuri, ikiwezekana avood misongamano.

Ni vigumu sana. Daladala tu kasheshe.

Halafu unaweza kuwapa ndugu zako bila kujua pamoja na chanjo.

Uchumi, maisha lazima yaendelee. Hasa sisi walalahoi, tutakufa na njaa, tukifungia.

Mawili kufa na njaa au Corona?
 
Tumkaribie Mungu zaidi! Naomba Mungu azidi kuilinda nchi yetu Tanzania na watu wake, ktk jina lipitalo majina yote, Yesu Kristo, amen!

Hapana, hakuna Mungu anasikiliza wezi wa kura na mabaradhuli, piga mpaka akili iwakae vizuri. Wale wapinzani mliwaua juzi kwenye uchaguzi ili mkae madarakani lazima ilipwe. Ule ushirikina wa wiki ya nyungu unaanza lini?
 
Hizi habari umezitoa wapi?

Sayansi inaendana na facts sio conspiracies na habari za kufikirika..., lete data katika chanjo zote percentagewise ni ipi ina more positive results..., na hio ya China imepimwa wapi na variants ya Africa kusini na data zinasemaje ? Habari za nani kaleta and what not kwa sasa ni immaterial..., the only issue is what works,,,
 

Bado hamjatetea vizuri, mtatetea sana lakini kutowajibika kwa serikali kwenye hili kunafahamika. Propaganda mfu hazina nafasi kwenye hili. Zile pesa zilitolewa na wazungu kupambana na covid zilienda wapi?
 
I'm speechless [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji1430]
Umetutunuku degree zetu,tukakufurahia, Umeondoka [emoji119][emoji119][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…