ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 4,453
- 5,719
Hivii... yale maombi yetu yame-expire???
Milele kabisaMitano tenaaaaa! Ahahahaha
Which Tanzania? Stop exaggerating matters.The black cloud is hovering over Tanzanian skies.
Jamani! mbona unanilazimisha wakati wa huzuni?[emoji38]Mmmmh unaweza ukaamka kesho ukajikuta nchi nzima upo mwenyew, Rip
nimekuelewa taratibu tutaheshimianaNaona Corona sasa imeamua kujibu.
Inapiga fresh bara na visiwani.
Poleni wafiwa.
Visiwani imekamua sana. Sema nini hawatangazwi tu.Naona Corona sasa imeamua kujibu.
Inapiga fresh bara na visiwani.
Poleni wafiwa.
Mimi na wewe tunaelewa..lkn asilimia kubwa mnooo ya watanzania hawajui wala hawajali.. asa long as alisema hakuna korona kuna wanaomuamini...humu tu kuna MATAGA wanasema hakuna...seuse usweken. Lkn leo Rais akisema korona ipo na lazima kujilinda utaona kesho mji mzima una barakoa... las,t year si uliona watu walivyochukua tahadhari.. ?? Ila sasa anaanzaje???Kuchukua tahadhari hadi uambiwe na serikali? Are u serious?
Hii clip itakuwa ni ya mwaka 2020 siyo? Maana nimesikia kuwa hakuna aliyekufa kwa Corona.
Mungu gani anasaidia majizi ya kura, covid piga hayo majizi ya kura. Iteni vyombo vya dola viwasaidie kwenye hii noma.Mungu atusaidie jamani daaah!
Afunge mashule wiki sita maambukizi yatapungua.Mimi na wewe tunaelewa..lkn asilimia kubwa mnooo ya watanzania hawajui wala hawajali.. asa long as alisema hakuna korona kuna wanaomuamini...humu tu kuna MATAGA wanasema hakuna...seuse usweken. Lkn leo Rais akisema korona ipo na lazima kujilinda utaona kesho mji mzima una barakoa... las,t year si uliona watu walivyochukua tahadhari.. ?? Ila sasa anaanzaje???
Jane Lowassa unanifahamu siku zote nimekuwa upande wa Magufuli si ndio? Katika hili swala Sina kabisa hizo nguvu. CORONA is no longer a doubtful story.Which Tanzania? Stop exaggerating matters.
Na nyie fanyeni kitu sio kukariri maandishi tu, sijui shule mlienda kusoma nini?? Kweny ishu serious za kutafuta chanjo mpo kmy poor Wasomi wa TanzaniaNo, Tatizo Virus ni mjanja sana. Sio kama bacteria yeye ukitaka kumuua anajibarisha.
Sio kama bacteria.
Pia magonjwa ya Virus ni magumu inachukua muda mwingi sana kupata kinga ya uhakika. HIV, Cold, Ebola, Spanish Flu, Sars - Cov, Dengue, Smallpox Corona viruses bado wapo. Wanapeta. They mutate (wanabadilika) all the time.
Kumkabili Virus yoyote zaidi ni kuchukua tahadhari, kula vizuri, kujilinda nk. Corona inaweza kuendelea zaidi ya miaka mitano.
Maisha yaendelee kawaida kwa tahadhari zote.
Which Tanzania? Stop exaggerating matters.
The United Republic of Tanzania, in the east african region bordered by Kenya,Uganda,Burundi,Rwanda,DRC,Malawi,Zambia,Mozambique and the Indian ocean, and a couple of islandic countries.Which Tanzania? Stop exaggerating matters.
Meko anatuongoza kuelekea kaburi la halaiki.Uzembe wa Meko