TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

Mficha malazi kifo humuumbua, nasema uongo ndugu zangu?
Una maana gani? Hakuna aliyewahi kuficha maradhi!! Usitake kutengeneza picha ya uongo!! Tulichosema na kukiri kama Taifa ni kuwa " Mungu ametuponya na janga la Corona!!

Huo ni ukweli mtupu ambao haukanushiki na uko wazi!! Ndio maana vyuo na shule zilifunguliwa, lockdown haikuwepo na tuliachana na barakoa! Duniani kote kwingine shule na vyuo havikufunguliwa na wengine walipojaribu kufungua wakafunga tena Hadi leo!! Je huko mashuleni na vyuoni mmeshuhudia vifo vya halaiki? hakuna kitu kama hicho kwa kuwa Mungu alikuwa ametuponya!

Mungu akikuponya haina maana kuwa huwezi kuugua tena madam bado unaishi!! Suluhisho ni kuwa ukiugua tena unamwomba Mungu tena ili akuponye kama alivyokuponya awali!! wala siyo kwamba ukiugua tena maana yake ni kuwa Mungu alikuwa hajakuponya!! Watanzania tumwombe Mungu tena Kama tulivyofanya awali na atatuponya tena Kama alivyotuponya hapo awali kwa kuwa mapenzi yake kwetu hayabadiliki!

Kuna watu wanakejeli na kubeza na Mungu anawaona!

Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso
 
Duuuuuh hali ni mbaya kwa kweli lol.
 
Marehemu hasemwi vibaya lakini Hawa ndo wamelelea mfumo mbovu, uliopelekea kuua demokrasia na uchumi
Washenzi sana hawa ndio washriki na wanaosapoti vikosi vya wasiojulikana, sheria kandamizi kwa raia. Wacha wafe wakachomwe jehanamu moto walioandaliwa wao na ibilisi shetani.
 
Watajijua sisi hayatuhusu. Tuendelee kupiga kazi zetu
 
TISS ingieni kazini mjue kama kuna wahuni wanesha penyesha mzigo mpya wacovid sio bize tu na issue za chama fanyeni kazi bana
 
Akili ya kuambiwa changanya na yako, usiamiki kila kitu(usichokiona). Ivi haya magonjwa feki ya kibiashara,
 
Hakika,hili toleo jipya halisikii hata chanjo yetu ya covidol.
Hivi Ni kIna Nani hao waliokwenda huko ulaya kufuata chanjo kimya kimya halafu wakatuletea Corona ya ajabu ajabu? Nimeshaanza kuona hao ndio maadui wa Taifa!!
 
Akili ya kuambiwa changanya na yako, usiamiki kila kitu(usichokiona). Ivi haya magonjwa feki ya kibiashara,
 
Kuna fala mmoja alisikika juzi akisema wanaopigania chanjo wote ni wafuasi wa TL na Chadema.
 
There's a natural mystic
Blowing through the air
If you listen carefully now you will hear
This could be the first trumpet
Might as well be the last
Many more will have to suffer
Many more will have to die
Don't ask me why

Things are not the way they used to be
I won't tell no lie
One and all got to face reality now
Though I try to find the answer
To all the questions they ask
Though I know it's impossible
To go living through the past
Don't tell no lie
"Bob Marley"
 
Kwa kuwa Babaako wamemgeuza dada unadhani kila mtu anafanya huo upumbavu ZWAZWA wewe!? 😳
dada matusi ya nini? ....... Swali liko pale pale,....je wanaovaa barakoa hawapati covid? je nchi zilizo impose lock down corona imekwisha?.... Je hizo nchi zinazodai kutengenaza chanjo corona kwao imekwisha?..........
 
Hivi nyie mnatumia akili kweli?..Media gani mkuu,wakati Tcra wangewala kichwa dakika sifuri kwa kuleta taharuki
Kwani kuwaelimisha watu namna ya kujikinga na corona.Vaa barakoa,nawa kwa sabuni na maji tiririka ingeletaje tahahuri.Lakini sasa hivi ukiangalia channel nyingi hayo haya zungumzwi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…