TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

Tatizo wabongo tu wabishi sana. Unakutana na mtu anakuambia Tanzania hamna Corona.

Unajiuliza kama mataifa mengine yote covid-19 ipo na inaua watu daily sisi Tanzania tuna ubia gani na Mungu mpaka covid isiwepo kwetu?

Ujinga huu huu ndio ulisababisha SA mpaka sasa AIDs ni janga kubwa. Kisa rais aliwaambia dawa ya ukimwi kuoga maji baridi.
Huo ujinga umeambikizwa na viongozi
 
Je VIP walio wengi wamepata chanjo ya Korona? Na kama hii ni kweli chanjo imetoa matokeo chanya? Je Korona ipo Tanzania? Na kama ipo ikitangazwa kuwa ipo je itasaidia kuokoa maisha ya watu wengi?
Mwaka jana ilisaidia au haikusaidia?
 
Sijaona popote pale ambapo Mwenyezi Mungu amehidhihakiwa. Mwenyezi Mungu ametupa akili ili tuitumie ipasavyo kwenye mambo mbali mbali ikiwemo kulinda afya zetu. Hivyo unapougua huwezi kujifungia ndani eti huku ukisali na kuomba ili akuponye badala ya kwenda hospital kutafuta tiba muafaka.
Nadhani kwa wale ambao ni wakristo wasimdhihaki Mungu.Tuwaachie hilo wale wasioamini katika Mungu
 
Sijaona popote pale ambapo Mwenyezi Mungu amehidhihakiwa. Mwenyezi Mungu ametupa akili ili tuitumie ipasavyo kwenye mambo mbali mbali ikiwemo kulinda afya zetu. Hivyo unapougua huwezi kujifungia ndani eti huku ukisali na kuomba ili akuponye badala ya kwenda hospital kutafuta tiba muafaka.
Kujifungia ndani huku ukiwa mgonjwa offcourse huo ni ujinga. Ila kumuomba Mungu atunusuru na Janga hili si jambo la kijinga pia(kwa wale wanaoamini)
 
Katika hiyo tweet ya Lissu sijaona popote alipoandika kumuomba Mungu ni jambo la kijinga.
Kujifungia ndani huku ukiwa mgonjwa offcourse huo ni ujinga. Ila kumuomba Mungu atunusuru na Janga hili si jambo la kijinga pia(kwa wale wanaoamini)
 
Kishakimbilia kwenye shimo lake chato. Dar hayuko Dodoma hayuko na hakuna watu wake wa karibu watasema yuko wapi.

1613654829631.jpeg

Inasepa anaenda sehemu salama chato kama mwaka jana
 
Mwaka Jana pamoja na kudeclare measures na hatua nyngine tulimpoteza waziri Maiga, tulimpoteza mama yetu Mama Mongera, tulimpoteza Jaji Ramadhani, Mzee Mkapa naye alitutoka, how did measures help? Zitto na Wenzako wekeni siasa kando utazameni UVIKO kwa macho yenu ya asili sio kwa mtazamo wa Mabeberu, Boris Johnson amecontract UVIKO, Emanuel Macron amecontract UVIKO, Angel Marcel naye hakuwa nyuma, Shizo Abe akaukwaa, je nao hawakujua kuna measures? Tena kwao ilikuwa ni strict measures Basi, Former French president amedanja juzi kati hapa kwa UVIKO, sasa what we do kama taifa wakt huko wanaotulazimisha kutangaza hawana hata akiba ya maneno tena hawana uhakika na maneno yao.

Sasa may be Zitto au Lissu is next ili tuone nguvu ya measures na social distancing, hawa watu ni wapiga debe wa astra-zeneca na P-fizer, hawana macho wala masikio, wana midomo tu ya kuongea wasichokisikia wala kukiona, poor you #Zitto #Lissu hamna staha wala chembe ya huruma hata utaifa hamna, wakati wa kusimama kwa umoja na mshikamano katikati ya misiba mizito mnapenyeza buashara zenu za chanjo kama mlivyoagizwa na mabeberu lol,nmemiss autocracy aisee, Labda tungekuwa na mfumo wa communism labda wangetafuta akiba ya maneno. These people Talks too much #Tanzania Kwanza

Ndugu Magufuli sisi wachache ama wengi tunakuunga mkono, wewe sio death-metre wa kucontrol vifo, you are the president wa maamuzi magumu, tulishangilia kwa maamuzi yako ya kwanza na matunda yake na kwa kweli ulionekana mshindi, hata sasa pamoja na kwamba wanakuprove wrong ilhali ni wao waliowakusanya watu wakati wa kampeni bila kujali hizo wanazoziita measures wakienjoy sehem ya matunda ya maamuzi yako leo wanakunyooshea kidole lol, sina jina zuri la kuwaita zaidi ya #Wanafiki #Wapiga debe wa kisiasa, Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Magufuli, Mungu zibariki familia za wafiwa #siku za binadamu aliyezaliwa na mwanamke si nyingi

Hao uliowataja wote wamekuwa wahanga baada ya serikali kujeukia maombi kama kinga. Serikali yetu ilikuwa serious na huu ugonjwa kama miezi mitatu tu tangu mgonjwa wa kwanza kugundulika.
 
Hapa nakubaliana na Antipas japo naye alipokuja kwenye kampeni alipuyanga hivyo hivyo tu bila barakoa wala nini. Lakini yaliyopita yamepita...it is time to change course and save lives before it is too late...

is it "before too late" or already too late! Nimemkumbuka waziri mkuu wa Italy alipolia na kusema "tunasubiri msaada toka juu tu'
We may be coming to that level
 
Hao uliowataja wote wamekuwa wahanga baada ya serikali kujeukia maombi kama kinga. Serikali yetu ilikuwa serious na huu ugonjwa kama miezi mitatu tu tangu mgonjwa wa kwanza kugundulika.
Kuna Jambo hulifaham, ni vile unapenda uprove vitu wrong tu ili ujisikie vizr, UVIKO ni zaidi ya social distance na kupeana mikono, it's sthn which it's measures aren't truly equal to what are said being the measures, labda ungetafuta taarifa za kijasusi tu ujue huo UVIKO ni nini hasa, find what COVID is in deep and dark webs, these clear webs haven't spoken the required truth, i love u and my country and can't withstand seeing my generation perishing but it has to coz this is the code and only few who want can read.
 
Back
Top Bottom