TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

Mungu Wangu huyu baba kafariki. Hakika Corona itaondoka na mtu Ikulu.

This is more than breaking News.

Usiku wa leo Mh. Magufuli atalia kwa uchungu mno kwa kuondokewa na rafiki yake kipenzi.

Huwenda akabadili maamuzi yake dhidi ya CORONA.

TZ Uviko wanaichukulia poa sana.
 
..Kijazi kafa kutokana na maradhi ya moyo.

..Magufuli naye kafa kutokana na maradhi ya moyo.
 
Akubali? Too late
Angalia tarehe ya hiyo post, zaidi ya mwezi umepita. Nilikuwa nahimiza sana kujikinga kuvaa barakoa, kuosha mikono, kuepuka misongamo isiyo ya lazima, kukubali chanjo especially Pfizer one.

Nilishasema hata yeye hayuko salama. Hakuna yoyote ambaye yuko salama. Labda watoto wetu.

It is bit late now, lakini sio too late. Rais mpya akiwa extremely serious ataokoa maisha ya wengi. Vya kufanya vinajulikana. Sababu huu ugonjwa unaweza kupita na yeye pia asipokuwa mwangalifu.
 
Kusikia kwa kenge, Hadi atokwe damu masikioni
Mungu Wangu huyu baba kafariki. Hakika Corona itaondoka na mtu Ikulu.

This is more than breaking News.

Usiku wa leo Mh. Magufuli atalia kwa uchungu mno kwa kuondokewa na rafiki yake kipenzi.

Huwenda akabadili maamuzi yake dhidi ya CORONA.
 
Mwache apumzike kwa maana Mungu ndio anajua kuwa sijui angekuwa katika hali gani hivi sasa baada ya mwendazake kuondoka hapa duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…