BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
😂😂😂😂 ila wewe kumuwekea Lissu maneno mdomoni kwamba anatambua nyadhifa za the so called viongozi ni sawa!!! 🤣🤣🤣
Usiniwekee maneno mdomoni. Wapi nimesema sioni umuhimu wa kupiga kura?
Sijasema mlio piga kura mkae kimya, kama inawasaidia kutokukaa kimya, by all means endeleeni kutokukaa kimya. Nawaachia mliopiga kura (naimani wanasiasa pia walipiga kura).