TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

Zito aache utapeli, kuna ushahidi kibao wa watu kuuwawa ili ccm wake madarakani hasa huko Zanzibar, ni hatua ipi alichukua zaidi ya wao kwenda kuungana na wauaji kwa ghiliba ya kuliponya taifa?
Kosa moja halihalalishi kosa jingine
 
jamny nina swal kwan huyu mzee wa watu wanampumzisha hapa DSM au mkoani maana nimeona msafara mjini mchana na jion tena mida saa moja jion tena maeneo ya kunduchi??
 
Nimeamini Duniani kuna WAPUMBAVU wa kila aina.
UKIMWI ulitengenezwa huko Duniani. Mpaka leo watu wanaendelea kufa.
Imetengenezwa EBOLA. Ndugu zetu Waafrika wamepoteza maisha yao kwa mamia na maelfu.
Wametengeneza maradhi haya ya sasa. Huko Duniani watu wengi wamepoteza maisha.
Kwa visa hivyo vyote hatujawahi kusikia kuna mtu anakusanya ushahidi ili kuwashtaki waliotengeneza Virus hivyo. Ni ujinga wa hali ya juu sana kuanza kulaumiana sisi kwa sisi badala ya kuwalaumu wanaotengeneza Virus vya maradhi mbalimbali na kututupia sisi.
 
Zitto anafahamu fika kwamba hili halina impact yoyoye na labda kaandika kutoa frustrations zake tu baada ya kifo cha Maalim Seif

Hiyo kesi ataenda kuifungulia wapi? ICC? Kwanini tusianze kwanza na wale walipigwa risasi wakati wa kumsikila Dr. Mwinyi?
 
mpaka sasa bado sijamuona anaecheza na uhai wangu ila wangesema nijifungie ndani hapo ni moja kwa moja wangegusa uhai wangu
 
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya mpendwa wetu Eng.Balozi John William Kijazi mahala pema.
Amina.
Nikiwa ni mmoja wa Jumuiya ya Wahandisi Nchini natanguliza shukrani nyingi kwa wote mliopata mshutuko mkubwa na pole zenu kwake.
Tulio karibu tujitokeze kumsindikiza mpendwa wetu katika Safari yake ya mwisho.
Naiomba familia yake iwe na subra na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu wanachopitia.
 
Back
Top Bottom