Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halitakuwa na impact na watu kama wewe. Ushauri huu wa Zitto tuusikilize na tutende alivyoagiza. Hili litatuwezesha kuwanya wahisika kufanya kazi zao bila kudharau maisha ya watanzaniaZitto anafahamu fika kwamba hili halina impact yoyoye na labda kaandika kutoa frustrations zake tu baada ya kifo cha Maalim Seif
Hiyo kesi ataenda kuifungulia wapi? ICC? Kwanini tusianze kwanza na wale walipigwa risasi wakati wa kumsikila Dr. Mwinyi?
aliyepiga picha hii nina laki 5 yake , picha inaongea mengi mno !
aliyepiga picha hii nina laki 5 yake , picha inaongea mengi mno !
Tatizo la Zitto ni mbinafsi sana, haaminiki na ananunulika kirahisi
Kwa hiyo wewe unaona Kuna watu wanalilia kuugua korona? Kwani kinachoifantmya korona isiwe korona Ni kusema tu kuwzma si korona?Corona siyo ugonjwa wa aibu lakini taarifa rasmi tuliyopewa haijasema marehemu amekufa kwa corona. Kama wewe una taarifa hiyo tuwekee ushahidi hapa. Sasa inaelekea kila anayefariki inadaiwa ni corona kana kwamba corona ndio sababu pekee ya vifo!! Sijui kwa nini watu wanaishabikia corona hivi!
hujaelewa kituNa sie tunaofiwa kwa Malaria, Ukimwi, TB, Kisukari, Kiharusi, Kipindipindu, tunapeleka wapi takwimu n tunampindua nani?
Hakuna watu wapumbavu kama wanasiasa wa nchi hii.
Huyu atukome kabisa. Tanzania haina korona, ila kuna watanzania wenye maambukizi ya korona. Yeye ajikinge na ashauri wanaomzunguka wajikinge. Ikitangazwa atakavyo, korona itaisha? Huko walikotangaza, mbona hatuoni kuisha?
Hivi Tundu Lissu kumbe anatambua nyadhifa za viongozi wa serikali hii😲😲😲.
Wapo walioipigia kura, na wengi walioipinga hawakwenda kupiga kura. Lakini hayo tuwaachie wanasiasa.Ukweli unabaki pale pale kwamba ni Serikali haramu ambayo Watanzania hatukuipa ridhaa ya kuwepo madarakani hivyo wakaamua kufanya uhuni na ujambazi kwa kuiba na kuua ili kung’ang’ania madarakani.
Wapo walioipigia kura, na wengi walioipinga hawakwenda kupiga kura. Lakini hayo tuwaachie wanasiasa.
Anyway, nimeshangaa tu kuona TL anasema ´´(we´ve) tumepoteza.... alafu anataja nyadhifa zao´´, acknowledging hawa ni viongozi wetu na yeye akiwemo.
Haya ngoja mie niwaachie nyie mliopiga kura.Tutawaachiaje wanasiasa wakati sisi ndiyo wapiga kura tunaodhulumiwa haki zetu kuamua viongozi tuwatakao? Wewe vipi!? 😳😳😳
Haya ngoja mie niwaachie nyie mliopiga kura.
Binafsi sikwenda kupiga kura.
Usiniwekee maneno mdomoni. Wapi nimesema sioni umuhimu wa kupiga kura?Huoni umuhimu wa kupiga kura lakini hapo hapo unataka waliopiga kura na haki zao za kuchagua viongozi wawatakao kudhulumiwa wakae kimya wawaachie wanasiasa!!! 😳😳😳😳😳