TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

Mungu Wangu huyu baba kafariki. Hakika Corona itaondoka na mtu Ikulu.

This is more than breaking News.

Usiku wa leo Mh. Magufuli atalia kwa uchungu mno kwa kuondokewa na rafiki yake kipenzi.

Huwenda akabadili maamuzi yake dhidi ya CORONA.
Maamuzi gani? Ya kuweka Lockdown? Ya kupokea chanjo? Alikuzuia kuchukua tahadhari?
 
Kwenye hotuba ya waziri mkuu jana alisema walimzika kaka ya Kijazi mwezi uliopita.

Tuseme hii familia imepata misiba mfululuzo.

Mungu awatie nguvu.
 
Unatakaje kwani, kuna mtu kakuzuia kuchukua tahadhari?
Hapa tuko kwenye boti hata wewe pekee ukichukua tahadhari lakini halaiki wanaaminishwa kuwa tuko salama na wao wakaamini hivyo, hiyo tahadhari yako pekee itakuwa na manufaa kidogo sana ukilinganisha na ambapo mngechukua tahadhari wote hasa mkiwa mnaongozwa na nahodha.
 
Mnapoambiwa Tanzania hakuna panya wa majaribio, huwa mnaelewa nini kwani?

Yaani over 50m tayari wamechanjwa duniani, tena wengine wazee kabisa wamesurvive. Including Kama Israel, UK, USA, Brazil, Saudi, UAE, na EU.

Imeshajaribiwa vya kutosha. Kufika Tanzania itakuwa mwisho wa mwaka labda baada ya waatu 1bn kupokea.

Kwahiyo kutakuwa na muda wa kutosha kujiridhisha

Anyway haya maoni tu ya mtu mmoja.
 
Sasa kama ni mwisho wa mwaka mnalia lia nini sasa kuhusu chanjo, si msubiri au?
E2F0F4E8-6354-4077-9874-22E022331B16.jpeg
 
@ FRANCIS DA DON
The point ukiagiza sasa hivi utazipata June to December. Kuna zingine zinatolewa bure na G7, Norway, UK,CDC, Covax.

G7, Germany, EU wanatoa pesa pia kusaidia to set up vaccination centres.

Hakuna anayelia, tungeongea kama watu wazima tukibadilishana maoni. Ugonjwa nilishaupata na sikuumwa, chanjo nimeishaipata. Sina sababu ya kulia.

Ni bora uzichukue pamoja na pesa na kuzi-test kutumia wataalamu wako

Tunaongelea wazee, wenye magonjwa mengine, at risk people kama walemavu wa aina mbalimbali, wenye kinga dhaifu, na key workers kama Doctors, Nurses, police etc.

Lengo letu wote ni kuisadia serikali, nchi yetu.
 
Exactly one month later (or 7 days earlier) mzee nae kamfuata.

Covid19 is deadly especially when one is already suffering silently from chronic underlying health issues...
Hatari sana mkuu,inasikitisha ,juzi baraza la mawaziri wamejikusanya bila tahadhari yeyote ,hakuna barakoa,hakuna social distancing ,hakuna "SANTAIZA".
 
Mungu Wangu huyu baba kafariki. Hakika Corona itaondoka na mtu Ikulu.

This is more than breaking News.

Usiku wa leo Mh. Magufuli atalia kwa uchungu mno kwa kuondokewa na rafiki yake kipenzi.

Huwenda akabadili maamuzi yake dhidi ya CORONA.
Too late!
 
Back
Top Bottom