Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaweza kukimbia kivuli chako?
ondoa hofu, hiyo ndio dawa yake
Ngoja kidogo kwanza ipige panapo umaaTanzania tumepatikana aisee,Jamani turudie njia za kisayansi
Jamani serikali ina jukumu kubwa sana kwenye kupambana na huu ugonjwa,hii vita sio ya mtu mmoja mmoja. Serikali inatakiwa izuie mikutano,matamasha,pia watu kwenda viwanjani kutazama michezo. Sababu kubwa inayoeneza covid19 ni mikusanyiko ya watu wengi kwenye closed space kama bars,nyumba za ibada, sherehe na michezo. Hapa serikali ina nafasi kubwa ya kuzuia hizi shughuli kwa muda mpaka level ya maambukizi ikishuka.Kujilinda ni jukumu la mtu binafsi. Ina maana huna sabuni? Huna uwezo wa kununua barakoa ya 500? Huwezi kuweka distance kati yako na mtu mwingine? Unataka Rais akushikie kiboko kufanya hayo? Embu tuwe serious kidogo jamani.
Inamsomea ramani.Hiikitu mbona jiwe haimpatiii
Soon Mwamba anaenda Chato
Chibolo, Chizunga, Chipale, Chikuma, Chitutu, Chinini![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chibolo....sio chizunga mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].wakati mwngine tufurah..anyway piga nyungu 3times/day
Nini tena imetokea kwa Kijazi?R.I.P Kijazi. Barakoa ingeweza kusave maisha yako.Too sad. Enough is enough.
Aliniambia rafiki yangu mmoja ... wakifa wakubwa mfululizo maswali yatakuwepo mengi.Tupo salama
R.I.P
Chanjo hizo ni kwa ajili ya kuwalinda wazee na watu wenye maradhi ya muda mrefu mshaambiwa.
Wenzenu wakishamalizana na walengwa wa chanjo hao wengine waambukizane tu maisha yaendelee, amtaki kusikia.
nipo dsm mtaa wa kwa azizi ally najaribu kufatilia kama kuna mtu yyte kadanja kwasababu ya hako ka mdudu ila bado sijaona yyte, na hakuna anaechukua tahadhari vile vile, sasa nazidi kuchanganyikiwa sana.Sasa hao ni wale wanao julikana na kutangazwa je, sisi huku mitaani tusio julikana wala kutangazwa.?