Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi ipo kwenye crisis, handling ya Corona inatupeleka pabaya mno.
Umemsahau DiwaniPole Rais Magufuli na familia yote ya Kijazi. Tetesi za Kijazi na Dr. Mpango kuwa wanaugua Covid-19 zimekuwepo kwa siku kadhaa sasa; Ina maana corona imeingia Ikulu. Rais Magufuli anahitaji kuangalia mkakati wake kwani coronavirus haina heshima na haitakoma hadi idhibitiwe kisayansi.
Yule jamaa hawezi kutangaza kamwe, ataogopa ataificha wapi sura yake.Da chuma kimelala, Sasa Hali sio Hali , mungu ipumzishe roho ya marehem pema peponi,
Wapendwa katika bwana, Sasa yatubidi kusimama wima , hapa mtaani Kuna misiba 4 in one
Nishauri serikali kufanya mahamuzi magum ,kutangaza Hali ya hatari ili watu Sasa tukae mguu sawa, tusitishe Mambo mengine KWA mda tupambane na hii changamoto,tutaisha no way
Kujilinda ni jukumu la mtu binafsi. Ina maana huna sabuni? Huna uwezo wa kununua barakoa ya 500? Huwezi kuweka distance kati yako na mtu mwingine? Unataka Rais akushikie kiboko kufanya hayo? Embu tuwe serious kidogo jamani.Angekua anatupenda angetulinda mkuu.
Siyo kweli, munapotosha kwa maslahi ua nani?Chanjo siyo suruhisho hapa South Africa haisadii na watu tayari wamefukuzwa
Makabati? Akaangalie kwanza kwenye yale maghorofa ya NIC alonunua kwa mkopo kwa ml 6 Kule dodoma. Angalie pia usalama wa zile nyumba za umma alizowauzia mahawala wake kina kajala wa kebys pale mwenge?Pole Rais Magufuli na familia yote ya Kijazi. Tetesi za Kijazi na Dr. Mpango kuwa wanaugua Covid-19 zimekuwepo kwa siku kadhaa sasa; Ina maana corona imeingia Ikulu. Rais Magufuli anahitaji kuangalia mkakati wake kwani coronavirus haina heshima na haitakoma hadi idhibitiwe kisayansi.
Unasubiri Serikali ikuambie Usinywe Sumu utakufa? be a Man, Maisha yako yathamini wewe mwenyewe kabla ya SerikaliMmh aiseeee basi serekali iseme watu wachukue tahadhari
Tahadhari tu na sio kingine