TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

Endeleeni kujifukiza, si mnapenda porojo ngoma itaangusha wabishi wote
Pole Rais Magufuli na familia yote ya Kijazi. Tetesi za Kijazi na Dr. Mpango kuwa wanaugua Covid-19 zimekuwepo kwa siku kadhaa sasa; Ina maana corona imeingia Ikulu. Rais Magufuli anahitaji kuangalia mkakati wake kwani coronavirus haina heshima na haitakoma hadi idhibitiwe kisayansi.
 
Dawa hakuna lakini chanjo zipo

Chanjo zinasaidia usife, kupelekwa hospitalini, kuumwa sana. Bado unaweza kupata Corona, hata kama umechanjwa. Ukawa carrier. Different variety have got different strengh.

Tena chanjo wapewe wazee kwanza, wagonjwa. Pili, wafanyakazi wa hospitali, walimu, Polisi.

Watu muhimu mwanzo. Baadaye wanaotaka.
 
Aliyeniuma nia Maalim Seif tu hawa wengine R.I.P
Tangu nione taarifa za vifo hakuna mtu ameniuma kama Maalim Sharifu
 
Pole Rais Magufuli na familia yote ya Kijazi. Tetesi za Kijazi na Dr. Mpango kuwa wanaugua Covid-19 zimekuwepo kwa siku kadhaa sasa; Ina maana corona imeingia Ikulu. Rais Magufuli anahitaji kuangalia mkakati wake kwani coronavirus haina heshima na haitakoma hadi idhibitiwe kisayansi.

Mkiongea nyinyi nadhani italeta impact ila wakiongea kina EClat,Encro,mmawia watasema ni machadema.
 
Back
Top Bottom