Ryaro ryaro
JF-Expert Member
- Feb 10, 2021
- 380
- 1,170
Hata Vita ya majimaji Kinyekitire Ngwale alisababisha Babu zetu wengi kufariki ....ignorance hi Ni jadi yetu Watanzania kwani haijaanza leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnyikulu yupo hai acha kuchanganya majina katibu mkuu na mnyikulu ni watu tofautiKwahiyo Baba kapewa vaccine fake?? Mbona mnyikulu ametangia hajupewa chanjo nini?
Huko uswahilini wanazika daily lakini wanaogopa kusema ni coronaKwani kuna korona? Si mpaka mtaani kwako wafe watu ndio inaonekana ipo? Soon tutaanza kuongea lugha moja.
Wahimize watu kuacha kusalimia kwa kushikana mikono ofisi zote na maji ya kunawa na barakoa
Inaadhibu wafanya maamuzi ambao wanatatua tatizo la Corona kwa kujidanganya kuwa Corona haipo Tanzania!Sasa hivi hii kitu inapiga huko juu juu kwanza.
Wanaokufa pasipo kutangazwa ni wengi sana na hasa huko uswahilini kwenye mikusanyiko isiyo na umakini wala maonyo yeyote
Huko uswahilini wanazika daily lakini wanaogopa kusema ni corona
Tumekosa uongozi ambao hauna dira.Jamani, Jamani sina la kusema. Nchi ya Tanzania tumekosa nini?.
Mara ya kwanza corona kubisha hodi Tanzania walifunga mashule wakazuia watu kushikana mikono wakahimiza kunawa mikono kwa bidii kubwa ndipo corona ikatoweka kwa mda wakasingizia kuwa wamemuomba mungu amefukuza corona Tanzania, sasa watanzania hawavai barakoa hawanawi mikono, wanakumbatiana wanasalimiana kwa mikono usambazaji ni mkubwa hasa kwenye public transport, school bus konda Dereva huwambukiza wanafunzi na wanafunzi kwenda kuwambukiza walimu na wazazi wao, wanafunzi hasa wanaopanda madaladala sasa ndiyo wasambazaji wakubwa zaidiMimi na wewe tunaelewa..lkn asilimia kubwa mnooo ya watanzania hawajui wala hawajali.. asa long as alisema hakuna korona kuna wanaomuamini...humu tu kuna MATAGA wanasema hakuna...seuse usweken. Lkn leo Rais akisema korona ipo na lazima kujilinda utaona kesho mji mzima una barakoa... las,t year si uliona watu walivyochukua tahadhari.. ?? Ila sasa anaanzaje???
Rais ahutubie Taifa apige marufuku salam za kushikana mikono, ahimize watu kunawa mikono, kuvaa barakoa, kuacha kukaa vijiweni kueneza maambukizi na pia wazifunge shule angalau hata kwa week mbili tu kuwanusuru watoto wadogo kueneza maambukizi kwa walimu na wazaziTufanyaje bro, tutukane serikali kwa kila kitu inachovifanya?
Wanaokufa pasipo kutangazwa ni wengi sana na hasa huko uswahilini kwenye mikusanyiko isiyo na umakini wala maonyo yeyote
Kila Nchi ipambane tusiige huko America kwani huko wamepiga chanjo tayariHebu acha kujitoa ufahamu wewe! Umemuona Biden na VP wake wanavaa barakoa katika Serikali hii ni yupi anayevaa barakoa? Sababu za kutovaa ni zipi?
Hilo ndiyo jina langu Asilia nalitumia mda wote hata hapa South pole watanzania wote wanalijua hili jina waulize watakuambiaNakubari ukiwa hauna jina hautangazwi. Ila tumia ID moja (ushuzi or mmawia). Kwanini unajiita ushuzi? Halafu ushuz.1?
Ok poa..kenge haelewagi somo mpaka damu zimtiririke masikioniKwani kabla ya Corona watu walikuwa hawafi? Acheni mambo ya ajabu! Eboo
usilie sana.jikaze jikaze mkuu.Rest in peace Champion Kijazi wewe ni mwendazake uliyekuwa huna makuu. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Hadi number moja, ishaanza kumsogelea.Hadi Afe nani?
Mwenyewe nina mafua hapa
ukizingatia huwi na pressure.piga nyungu kutwa Mara 2Ok poa..kenge haelewagi somo mpaka damu zimtiririke masikioni
Hapa nakubaliana na Antipas japo naye alipokuja kwenye kampeni alipuyanga hivyo hivyo tu bila barakoa wala nini. Lakini yaliyopita yamepita...it is time to change course and save lives before it is too late...
acha hizo mkuu.Hadi number moja, ishaanza kumsogelea.
May Kijazi's soul rest in peace.
Hilo ndiyo jina langu Asilia nalitumia mda wote hata hapa South pole watanzania wote wanalijua hili jina waulize watakuambia