TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

Mimi navilaumu vyombo vya habari vimeshindwa timiza wajibu wao.
Wamebaki kuwa walamba matako
Kweli media zingewaelimisha wananchi namna ya kujikinga.Ila punguza ukali wa maneno!
 
tunatakiwa kupambana sio kulalamika.tatizo watz wanapenda short Kati,na mizalau kibao,mkiambiwa jifukizeni mnadharau,mbona mwanzo watu waliitikia kujifukiza kwa kiasi kikubwa na matokeo yakawa mazuri!?? Tatizo ni midharau yenu!!!!! Sasa endeleeni na mizalau yenu,walevu wanapiga nyungu na wanadunda.wajuaji na muendelee na ujuaji.

Tunajaribu kuokoa Maisha yenu, na viongozi wote. Kuna different variant, more difficult to deal with. Maalim and Kijazi hawakujifukizia unafikiri?

Isiwe aibu kwa taifa. Wote walikuwa pamoja kwenye mikutano. Public, trust, confidence is dimishing.

It should concern you old guys more. Sisi tutadunda tu no matter what.
 
Kiongozi mmoja mwandamizi katika awamu ya nne ameshatutoka, tunasubiri itifaki kuzingatiwa na tanzia iendelee.
Eee Mungu tuhurumie. Hii ni hatari. Itakuwaje na sisi kajamba nani tuliopewa jina la wanyonge ili tusilala mike hata tunaponyanyaswa? Wiki ya balaa hii, MWAPACHU + KHATIB + MAALIM na leo sijui nani! Timu ya kusifu na kuabudu endeleeni kuimba mapambio huku tukiangamia, lakini kumbukeni kuwa hii haibagui. Angalieni listi inayoondoka kama ina ubaguzi wowote. Ukweli na uwazi utatuweka huru na janga hili. Kilangila.
 
Hii hali sio nzuri kabisa, kama hao wazito wanapukutika hivyo, vipi kwa wenzangu na mimi tusio tambulika magazetini?
Unawaondoa Wao Kwanza na ukiwamaliza wote hadi Jitu Bishi la Kanda ya Ziwa utatusamehe Sisi Wanyonge ( Watu wa Kawaida ) tuliobakia.
 
Kuna mjinga mmoja wiki 3 zilizopita baada ya kushuhudia vifo vya ndg.na rafiki zetu hapa jukwaani vilivyosababishwa na hii kitu akaropoka eti zamani hakukuwa na vifo?? Pumbaf...Watu wana majonzi wewe unaleta ujuaji.
 
Kuna moja nimetoka Kupenyezewa sasa hivi na nimeanza Kutetemeka kwani huenda Seif akasindikizwa na Mzanzibari Mwenzake mwana Mama, ila Jitu Bishi ameshapatwa na Presha na nasikia anahangaika mno Kumpigia Simu FM wa China Kumlaumu ila hawaelewani kwani Mchina anaongea Kiingereza cha ndani kabisa huku Yeye akichanganya tu Kisubi, Kiswahili na Kisato pamoja na Kisangara chake.
Sisi wanyonge tunabaki kulia kwenye keyboard. Je hawa tuliowatuma watuwakilishe huko mjengoni mbona wako kimya? Au kwa kuwa hakuna tena watu kama Tundu Lisu, Godbless Lemma, Sugu, Zitto et la? Walaaniwe sana wote waliofanikisha kuharibu uchaguzi uliopita. Kama walipewa pesa au vyeo, havina maana tena kwani hayupo tena wa kumdhibiti kichaa huyu. Mjengoni kumejaa waimba mapambio ya kusifu na kuabudu. Kilangila.
 
Wakina Lissu na Lema walituchelewesha sana, sasa hivi tuna makondoo tuliyoyakusanya yapitishe saba tena.
 
tunatakiwa kupambana sio kulalamika.tatizo watz wanapenda short Kati,na mizalau kibao,mkiambiwa jifukizeni mnadharau,mbona mwanzo watu waliitikia kujifukiza kwa kiasi kikubwa na matokeo yakawa mazuri!?? Tatizo ni midharau yenu!!!!! Sasa endeleeni na mizalau yenu,walevu wanapiga nyungu na wanadunda.wajuaji na muendelee na ujuaji.
Tujifukize bila kuvaa barakoa na bila kunawa mikono kama ambavyo meko anasema!!? Sidhanì
 
Back
Top Bottom