Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,518
- 6,506
You mean Bilali!!Ni Mtanzania pekee mwenye Utaalam wa Nyuklia japo akaishia tu kuwa Mwanasiasa huku Tanzania ikishindwa hata tu kuwa na Robo Kinu cha Nyuklia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You mean Bilali!!Ni Mtanzania pekee mwenye Utaalam wa Nyuklia japo akaishia tu kuwa Mwanasiasa huku Tanzania ikishindwa hata tu kuwa na Robo Kinu cha Nyuklia.
kama ni kweli basi, naogopa sasaKiongozi mmoja mwandamizi katika awamu ya nne ameshatutoka, tunasubiri itifaki kuzingatiwa na tanzia iendelee.
Kweli media zingewaelimisha wananchi namna ya kujikinga.Ila punguza ukali wa maneno!Mimi navilaumu vyombo vya habari vimeshindwa timiza wajibu wao.
Wamebaki kuwa walamba matako
tunatakiwa kupambana sio kulalamika.tatizo watz wanapenda short Kati,na mizalau kibao,mkiambiwa jifukizeni mnadharau,mbona mwanzo watu waliitikia kujifukiza kwa kiasi kikubwa na matokeo yakawa mazuri!?? Tatizo ni midharau yenu!!!!! Sasa endeleeni na mizalau yenu,walevu wanapiga nyungu na wanadunda.wajuaji na muendelee na ujuaji.
Mungu alitupa akili za kufikiri..kwenye hili Mungu hahusiki! Tulaumu upumbavu wetu.Jamani, Jamani sina la kusema. Nchi ya Tanzania tumekosa nini?.
Eee Mungu tuhurumie. Hii ni hatari. Itakuwaje na sisi kajamba nani tuliopewa jina la wanyonge ili tusilala mike hata tunaponyanyaswa? Wiki ya balaa hii, MWAPACHU + KHATIB + MAALIM na leo sijui nani! Timu ya kusifu na kuabudu endeleeni kuimba mapambio huku tukiangamia, lakini kumbukeni kuwa hii haibagui. Angalieni listi inayoondoka kama ina ubaguzi wowote. Ukweli na uwazi utatuweka huru na janga hili. Kilangila.Kiongozi mmoja mwandamizi katika awamu ya nne ameshatutoka, tunasubiri itifaki kuzingatiwa na tanzia iendelee.
Nakubaliana na Wewe katika hili kwa 100% Ndugu. Shida yake ni Ubabe wa Kipumbavu na Kutoheshimu Professionalism huku Kipaumbele chake kikiwa ni Kulazimisha Kupendwa na Kuonekana ni Mcha Mungu.Tatizo anaona aibu aanze vipi kusimamia mbele ya kipaza sauti?
Abeeh? Kilangila.Mke wa Dr Kijazi amelazwa Muhimbili.
Mbona mama aliyesema tusitupe sukari ziwani nae hali ni tete!Abeeh? Kilangila.
Unawaondoa Wao Kwanza na ukiwamaliza wote hadi Jitu Bishi la Kanda ya Ziwa utatusamehe Sisi Wanyonge ( Watu wa Kawaida ) tuliobakia.Hii hali sio nzuri kabisa, kama hao wazito wanapukutika hivyo, vipi kwa wenzangu na mimi tusio tambulika magazetini?
Wataalam wa Vifo ( Kufariki ) wanasema Mtu akitumia tu Oxygen katika Kupumua basi kwa 98% Kaburi linamuita kama siyo kumsibiria.Mke wa Kijazi yuko Muhimbili anasaidiwa kupumua kwa oxygen.
Sisi wanyonge tunabaki kulia kwenye keyboard. Je hawa tuliowatuma watuwakilishe huko mjengoni mbona wako kimya? Au kwa kuwa hakuna tena watu kama Tundu Lisu, Godbless Lemma, Sugu, Zitto et la? Walaaniwe sana wote waliofanikisha kuharibu uchaguzi uliopita. Kama walipewa pesa au vyeo, havina maana tena kwani hayupo tena wa kumdhibiti kichaa huyu. Mjengoni kumejaa waimba mapambio ya kusifu na kuabudu. Kilangila.Kuna moja nimetoka Kupenyezewa sasa hivi na nimeanza Kutetemeka kwani huenda Seif akasindikizwa na Mzanzibari Mwenzake mwana Mama, ila Jitu Bishi ameshapatwa na Presha na nasikia anahangaika mno Kumpigia Simu FM wa China Kumlaumu ila hawaelewani kwani Mchina anaongea Kiingereza cha ndani kabisa huku Yeye akichanganya tu Kisubi, Kiswahili na Kisato pamoja na Kisangara chake.
Shida watu wanaingiza na siasa. Akili kichwaniHi mambo mingine sielewi bhana...
Kwani tunahitaji kutangaziwa ndo tujue ipo?!!
Wakina Lissu na Lema walituchelewesha sana, sasa hivi tuna makondoo tuliyoyakusanya yapitishe saba tena.Sisi wanyonge tunabaki kulia kwenye keyboard. Je hawa tuliowatuma watuwakilishe huko mjengoni mbona wako kimya? Au kwa kuwa hakuna tena watu kama Tundu Lisu, Godbless Lemma, Sugu, Zitto et la? Walaaniwe sana wote waliofanikisha kuharibu uchaguzi uliopita. Kama walipewa pesa au vyeo, havina maana tena kwani hayupo tena wa kumdhibiti kichaa huyu. Mjengoni kumejaa waimba mapambio ya kusifu na kuabudu. Kilangila.
Tujifukize bila kuvaa barakoa na bila kunawa mikono kama ambavyo meko anasema!!? Sidhanìtunatakiwa kupambana sio kulalamika.tatizo watz wanapenda short Kati,na mizalau kibao,mkiambiwa jifukizeni mnadharau,mbona mwanzo watu waliitikia kujifukiza kwa kiasi kikubwa na matokeo yakawa mazuri!?? Tatizo ni midharau yenu!!!!! Sasa endeleeni na mizalau yenu,walevu wanapiga nyungu na wanadunda.wajuaji na muendelee na ujuaji.
Wengi wanaisikiliza serikali tuHi mambo mingine sielewi bhana...
Kwani tunahitaji kutangaziwa ndo tujue ipo?!!