TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

Rais Magufuli ametangaza kwa masikitiko kifo cha Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John William Kijazi ambaye amefariki leo Februari 17 saa tatu usiku, Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma akipatiwa matibabu.

View attachment 1705005

View attachment 1705003
Balozi John Kijazi enzi za uhai wake
WASIFU WA BALOZI JOHN KIJAZI > Wasifu wa Katibu Mkuu Kiongozi mpya Balozi Mhandisi John William Kijazi

CURRICULUM VITAE

NAME: John William Herbert Kijazi
BORN: 18 November 1956
MARITAL STATUS: Married
CHILDREN: Has three sons

EDUCATION
  • Bachelor of Science (Honours) in Civil Engineering, University of Dar es Salaam, Tanzania
  • Masters of Science in Highway Engineering, Birmingham University, UK
CAREER
  • 1982 – 1986 Assistant Executiver Engineer, Ministry of Public Works, Tanzania
  • 1986 – 1996 Regional Engineer, Ministry of Public Works, Tanzania
  • 1996 – 1999 Senior Road Maintenance Engineer, Ministry of Public Works, Tanzania
  • 1999 – 2002 Director of Regional Roads, Ministry of Public Works, Tanzania
  • 2002 – 2005 Permanent Secretary, Ministry of Public Works, Tanzania
  • Jan – Nov 2006 Permanent Secretary, Ministry of Infrastructure Development, Tanzania
  • Dec 2006 – Jun 2007 Special Duties, Minstry of Foreign Affairs and International Cooperation HQTS, Tanzania
  • Jun 2007 High Commissioner to India
  • 27 May 2013 High Commissioner to Singapore
LANGUAGES
English, Swahili
mbele kwa mbele..CCM
 
Mwenye uwezo wa kupiga sala, tuungane tumwombee Rais wetu.. Huu msiba ni msiba chumbani mwa muheshimiwa.

Pia tumwombee aweze kukubaliana na hali halisi aachane kuweka misimamo yake kwenye consiperacy theories ambazo hazina mashiko.

Tatu tumwombee amani na utulivu, awaache watalaam wa afya wafanye kazi zao.
 
Yule jamaa hawezi kutangaza kamwe, ataogopa ataificha wapi sura yake.
Mkuu tulipofika apende asipende ni lazima kuchutama, plan KWA Sasa zote zimefeli, lazima kuanza kupambana upya KWA kufuata ushauri wa watahalam, Ayo mengine sijui mchanganyiko, kujifukiza tuwaachie watu wa kitengo Cha TIBA mbadala waendelee kushauri,
Watahalam wa afya wajikite kitahalam zaidi , serikali kuanzia mda huu inabidi kuacha Mara moja leta siasa kwenye fani za watu hasa idara ya afya ,WAziri GWAJIMA inabidi kujiuzulu Mara moja KWA kushindwa simamia ethics za kitabibu , na kutoshauri vizuri ,
 
hakuna korona..ts just siku zao zimefika..Tatzo wanakufa kpind korona imeshika hatamu..
 
walifungua mipaka ndege zikaleta watalii ndani wakiwemo wagonjwa ,wagonjwa wakakimbilia ni nchi gani haina corona wala lockdown na kuingia ni rahisi bila masharti yoyote

Watashindana lakini hawatashinda
Tanzanians my peoples.
 
Mwaka Jana pamoja na kudeclare measures na hatua nyngine tulimpoteza waziri Maiga, tulimpoteza mama yetu Mama Mongera, tulimpoteza Jaji Ramadhani, Mzee Mkapa naye alitutoka, how did measures help? Zitto na Wenzako wekeni siasa kando utazameni UVIKO kwa macho yenu ya asili sio kwa mtazamo wa Mabeberu, Boris Johnson amecontract UVIKO, Emanuel Macron amecontract UVIKO, Angel Marcel naye hakuwa nyuma, Shizo Abe akaukwaa, je nao hawakujua kuna measures? Tena kwao ilikuwa ni strict measures Basi, Former French president amedanja juzi kati hapa kwa UVIKO, sasa what we do kama taifa wakt huko wanaotulazimisha kutangaza hawana hata akiba ya maneno tena hawana uhakika na maneno yao.

Sasa may be Zitto au Lissu is next ili tuone nguvu ya measures na social distancing, hawa watu ni wapiga debe wa astra-zeneca na P-fizer, hawana macho wala masikio, wana midomo tu ya kuongea wasichokisikia wala kukiona, poor you #Zitto #Lissu hamna staha wala chembe ya huruma hata utaifa hamna, wakati wa kusimama kwa umoja na mshikamano katikati ya misiba mizito mnapenyeza buashara zenu za chanjo kama mlivyoagizwa na mabeberu lol,nmemiss autocracy aisee, Labda tungekuwa na mfumo wa communism labda wangetafuta akiba ya maneno. These people Talks too much #Tanzania Kwanza

Ndugu Magufuli sisi wachache ama wengi tunakuunga mkono, wewe sio death-metre wa kucontrol vifo, you are the president wa maamuzi magumu, tulishangilia kwa maamuzi yako ya kwanza na matunda yake na kwa kweli ulionekana mshindi, hata sasa pamoja na kwamba wanakuprove wrong ilhali ni wao waliowakusanya watu wakati wa kampeni bila kujali hizo wanazoziita measures wakienjoy sehem ya matunda ya maamuzi yako leo wanakunyooshea kidole lol, sina jina zuri la kuwaita zaidi ya #Wanafiki #Wapiga debe wa kisiasa, Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Magufuli, Mungu zibariki familia za wafiwa #siku za binadamu aliyezaliwa na mwanamke si nyingi
 
1613623177228.jpeg
 
Badala kuweka nguvu kwenye kuhamasishana tujijinge, tupo bize kupigia kelele wenye mamlaka...

Nadhani ingekuwa poa tungekuwa bize kuhamasishana kujikinga... Kuanzia kwa viongozi wa upinzani mpaka raia wa kawaida... Badala ya kila siku kuja na malalamiko kwa meko na wapambe wake, tungekuwa tunakuja na thread, post na tweet za namna bora ya kujikinga sisi kwa sisi...
Meko lazima apigiwe kelele. Yeye ndie man behind the bar. Yeye kama mkuu wa nchi amefeli. Na washauri wake wataalamu wana ogopa kumshauri. Meko ndie ana fanya haya yote yatokee.
Kama ana pingana na sayansi ana tuletea ushirikina na mambo ya utopia una semaje asilaumiwe???
 
Back
Top Bottom