Mwaka Jana pamoja na kudeclare measures na hatua nyngine tulimpoteza waziri Maiga, tulimpoteza mama yetu Mama Mongera, tulimpoteza Jaji Ramadhani, Mzee Mkapa naye alitutoka, how did measures help? Zitto na Wenzako wekeni siasa kando utazameni UVIKO kwa macho yenu ya asili sio kwa mtazamo wa Mabeberu, Boris Johnson amecontract UVIKO, Emanuel Macron amecontract UVIKO, Angel Marcel naye hakuwa nyuma, Shizo Abe akaukwaa, je nao hawakujua kuna measures? Tena kwao ilikuwa ni strict measures Basi, Former French president amedanja juzi kati hapa kwa UVIKO, sasa what we do kama taifa wakt huko wanaotulazimisha kutangaza hawana hata akiba ya maneno tena hawana uhakika na maneno yao.
Sasa may be Zitto au Lissu is next ili tuone nguvu ya measures na social distancing, hawa watu ni wapiga debe wa astra-zeneca na P-fizer, hawana macho wala masikio, wana midomo tu ya kuongea wasichokisikia wala kukiona, poor you #Zitto #Lissu hamna staha wala chembe ya huruma hata utaifa hamna, wakati wa kusimama kwa umoja na mshikamano katikati ya misiba mizito mnapenyeza buashara zenu za chanjo kama mlivyoagizwa na mabeberu lol,nmemiss autocracy aisee, Labda tungekuwa na mfumo wa communism labda wangetafuta akiba ya maneno. These people Talks too much #Tanzania Kwanza
Ndugu Magufuli sisi wachache ama wengi tunakuunga mkono, wewe sio death-metre wa kucontrol vifo, you are the president wa maamuzi magumu, tulishangilia kwa maamuzi yako ya kwanza na matunda yake na kwa kweli ulionekana mshindi, hata sasa pamoja na kwamba wanakuprove wrong ilhali ni wao waliowakusanya watu wakati wa kampeni bila kujali hizo wanazoziita measures wakienjoy sehem ya matunda ya maamuzi yako leo wanakunyooshea kidole lol, sina jina zuri la kuwaita zaidi ya #Wanafiki #Wapiga debe wa kisiasa, Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Magufuli, Mungu zibariki familia za wafiwa #siku za binadamu aliyezaliwa na mwanamke si nyingi