TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

Yule alie kuwa aki tamba hamna corona yuko wapoi leo?
Mficha ugonjwa kifo humuumbua.
Ni aibu msomi ya PhD kushabikia nyungu na kuficha maradhi. Sasa aibu ina mpata. Bado zamu yake
Busara za uongozi hakuna. Watu wamehoji pia uhalali wa PhD yake. Sasa taifa limevuliwa nguo. Tumekuwa gumzo duniani.
 
Rais huyu?

Ndio na ninahukika atahutubia Taifa. Altenative is worse kukosa, watalii, wawekezaji.

Public trust and confidence will be eroded. Even mawaziri, watendaji wake wataogopa kushiriki vikao.

Wataona bora kujiuzulu kuliko kufa. Norway wamelipa kwa nchi za Africa zipate chanjo free. UK the have extra, bought more than they need.

Matter of talking to them.
 
Kumbe kijazi alikuwa baba yako...
Wewe unataka afe baba yako ndio uone kifo kikuume?

Endelea kudhani kwamba kwa akili zako wewe utaishi milele ila Kumbuka bado ni asubuhi na mchana wako, jioni na hata usiku huvijui... viko mikononi mwa muamuzi wa mwisho

Chukua tahadhari na mwombe Mungu sana
 
Kumpush ni lazima kwa sababu ukaidi wake utaua ndugu zetu wajinga wengi.

Wewe ni watu wangapi ukiwaambia kuna Corona wajikinge watakusikiliza?

Wangapi akisema Magufuli watasikiliz

Kumpush ni lazima kwa sababu ukaidi wake utaua ndugu zetu wajinga wengi.

Wewe ni watu wangapi ukiwaambia kuna Corona wajikinge watakusikiliza?

Wangapi akisema Magufuli watasikiliza?.
Unajua sisi watu wa kawaida tuna nafasi kubwa zaidi ya kuhabarishana na kuelewana?...

Tunajuana vizuri, tunajua lugha zetu na namna yetu ya kuwasiliana... Mfano wewe hapo una watu wangapi nyuma yako ambao ukiwaeleza jambo wanakuelewa? (Mke, mume, watoto, ndugu wa damu, marafiki) ambao nao wanna watu wangapi nyuma yao... Tukianza sisi kwa sisi the list goes a long way...
 
Ndio na ninahukika atahutubia Taifa. Altenative is worse kukosa, watalii, wawekezaji...
Aliyasema kwa tuna rais wa ajabu ajabu huenda hamkumuelewa sasa mtaelewa. Kifupi yeye anatafuta sifa binafsi kwa gharama yoyote
 
Aliyasema kwa tuna rais wa ajabu ajabu huenda hamkumuelewa sasa mtaelewa. Kifupi yeye anatafuta sifa binafsi kwa gharama yoyote

Tusilichukulie hili kisiasa. Kiafya zaidi kwa raia wote, uchumi wetu kuokoa maisha yetu wote.
 
Back
Top Bottom