Katibu Mkuu NCCR ahamia CCM kwa mara ya pili

Katibu Mkuu NCCR ahamia CCM kwa mara ya pili

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,734
Reaction score
140,476
EYZObn3WAAA0baF.jpeg

Hapa alihama Agosti 2018 akipokelewa na Bashiru

EYZObnMWoAAXikN.jpeg

Leo tena 2020 amehama tena NCCR Mageuzi na kuhamia CCM
 
I see watu njaa zinawasumbua sana mpaka wanachanganyikiwa. Inawezekane hama ya kwanza alitarget kacheo mwangwi wake haukusikika, amefikiria akaona wakina Mollel wanapata uwaziri akaona ajitokeze tena kusema anahamia hukohuko alikohamia majuzi akidhani jamaa huko chato hana majukumu mengi hivyo ni rahisi kumwona safari hii.
 
SIJUI ALISAHAU KAMA ALIHAMA MWAKA 2018 AKITOKEA NCCR NA KUPOKELEWA NA BASHIRU NA LEO TENA ANAHAMA. INACHEKESHA KWELI. HIVI CCM HAWANA REKODI YA WANACHAMA WAO WANAPOPOKELEWA?
danda.jpg
VYUMA.jpg
 
Back
Top Bottom