Katibu Mkuu NCCR ahamia CCM kwa mara ya pili

Katibu Mkuu NCCR ahamia CCM kwa mara ya pili

Tatizo lako nini?kwani haiwezekani kuwa alienda chausta,halafu karudi tena ccm?
Danda na kafulila walifukuzwa chadema baada ya kuhoji uwezo wa Mbowe
ona ulivyo kurupuka. nyie ndo mnaofanya JF tuonekana akili kisoda. huyu 2018 alihamia CCM toka NCCR na 2020 tena amehamia CCM toka NCCR na hakuwahi kurudi NCCR. pimbi
 
Director kajisahau, ni makosa ya kibinadamu tuvumiliane tu.
 
Chama Cha Masinema.......
Haya tuvue barakoa Sasa, tunywe , tule na kushangilia Magumashi kampiga beberu wa korona.
Kisha tuhamie kwenye kuunga mkono juhudi
Soka safi linalochezewa kwenye uwanja wa miba.
 
ona ulivyo kurupuka. nyie ndo mnaofanya JF tuonekana akili kisoda. huyu 2018 alihamia CCM toka NCCR na 2020 tena amehamia CCM toka NCCR na hakuwahi kurudi NCCR. pimbi
Unajuaje kama hakurudi,kwani we ni mkewe?au unajuaje kama hiyo 2018 hakutimiza vigezo japo alipokelewa
Halafu mbona huwa mnaumia.sana.watu wakijiunga ccm?
 
Makatibu wakuu wa sasa wa CCM hawana hadhi...yaani ni kuandaa mapokezi tu ya watu hata wasiojielewa!!
 
Back
Top Bottom