SIJUI ALISAHAU KAMA ALIHAMA MWAKA 2018 AKITOKEA NCCR NA KUPOKELEWA NA BASHIRU NA LEO TENA ANAHAMA. INACHEKESHA KWELI. HIVI CCM HAWANA REKODI YA WANACHAMA WAO WANAPOPOKELEWA?
Hata miradi walikuwa wanafungua mara mbili mbili, wanapenda sana kuwa fonti peji.SIJUI ALISAHAU KAMA ALIHAMA MWAKA 2018 AKITOKEA NCCR NA KUPOKELEWA NA BASHIRU NA LEO TENA ANAHAMA. INACHEKESHA KWELI. HIVI CCM HAWANA REKODI YA WANACHAMA WAO WANAPOPOKELEWA?
View attachment 1454420View attachment 1454423
Mtamlipa tena ? tulishawaambia Polepole anapiga cha juu kwenye ununuzi wa binadamu , kaona sikukuu inakuja kaamua kutengeneza tukio ! kumbe liliwahi kufanyika !
Kwani tatizo lipo wapi MTU kuomba radhi? Inawezekana alipotoshwa na sasa kaujua ukweli
kuna kitu hukijui kuhusu hili
Walikosa mtu wa kutengeneza cinema, si wangemchukua hata yule mliaji liaji hovyo
Yaani dah[emoji3][emoji3]Watu hawawezi kuhama pasipo kuisema Chadema?
Umetoka NCCR kwenda sisiem kwanini uihusishe Chadema?
Tatizo lako nini?kwani haiwezekani kuwa alienda chausta,halafu karudi tena ccm?Leo tena 2020 amehama tena NCCR Mageuzi na kuhamia CCM
View attachment 1454365
Hapa alihama Agosti 2018 akipokelewa na Bashiru
View attachment 1454367
Leo tena 2020 amehama tena NCCR Mageuzi na kuhamia CCM