Katibu Mkuu NCCR ahamia CCM kwa mara ya pili

Hongera kwetu CHADEMA tumejua kuua nyoka wa kijani, tumegonga tu kichwa.
MaCCM yamepoteana. Yanaucheza mziki wa CHADEMA.
 
Maujinga ujinga tu, not even worth discussing. Maigizo na vituko tu, sasa ni nini hiyo watu wazima wanafanya?
 
Mh magufuli awo wa nccr naomba uwape cheo uparoli ili wasife njaa
 
Walikosa mtu wa kutengeneza cinema, si wangemchukua hata yule mliaji liaji hovyo
 
Yaani mtu anahama nccr kwenda ccm halafu anailalamikia CHADEMA!! Kweli mti wenye matunda lazima upigwe mawe.
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Vicheko ni dawa ya CORONA....tunaishukuru awamu hii kutuletea vicheko!

Everyday is Saturday.......................😎
 
Leo tena 2020 amehama tena NCCR Mageuzi na kuhamia CCM
Tatizo lako nini?kwani haiwezekani kuwa alienda chausta,halafu karudi tena ccm?
Danda na kafulila walifukuzwa chadema baada ya kuhoji uwezo wa Mbowe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…