Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
- Thread starter
-
- #41
ona ulivyo kurupuka. nyie ndo mnaofanya JF tuonekana akili kisoda. huyu 2018 alihamia CCM toka NCCR na 2020 tena amehamia CCM toka NCCR na hakuwahi kurudi NCCR. pimbiTatizo lako nini?kwani haiwezekani kuwa alienda chausta,halafu karudi tena ccm?
Danda na kafulila walifukuzwa chadema baada ya kuhoji uwezo wa Mbowe
Bila kumtukana Mbowe wewe siyo mpinzaniKuchanganyikiwa, ila si ni kwa mfumo mzima?
Mbona anaitaja Chadema? Au ni maelekezo ya mjumbe wa kamati kuu Ndugai?
Atajiunga tena mara ya tatu, ha ha ha ha, Huyu na MREMA kuna ugonjwa kama COVID 20 wanao, hawapo vizuri kichwani, tuwasamehe tuView attachment 1454365
Hapa alihama Agosti 2018 akipokelewa na Bashiru
View attachment 1454367
Leo tena 2020 amehama tena NCCR Mageuzi na kuhamia CCM
Hizo hotuba za kujiunga huku kwetu CCM wana andikiwa na CHAKUBANGA-POLEPOLE, ndiyo maana huwa wanamtukana kwanza Mbowe na kumtukuza MKUU WA MALAIKABila kumtukana Mbowe wewe siyo mpinzani
Soka safi linalochezewa kwenye uwanja wa miba.Chama Cha Masinema.......
Haya tuvue barakoa Sasa, tunywe , tule na kushangilia Magumashi kampiga beberu wa korona.
Kisha tuhamie kwenye kuunga mkono juhudi
Unajuaje kama hakurudi,kwani we ni mkewe?au unajuaje kama hiyo 2018 hakutimiza vigezo japo alipokelewaona ulivyo kurupuka. nyie ndo mnaofanya JF tuonekana akili kisoda. huyu 2018 alihamia CCM toka NCCR na 2020 tena amehamia CCM toka NCCR na hakuwahi kurudi NCCR. pimbi
Maagizo kutoka juuWatu hawawezi kuhama pasipo kuisema Chadema?
Umetoka NCCR kwenda sisiem kwanini uihusishe Chadema?
Aisee kama ni mpira tungesema Chadema inapendwa kama Messi yaani .
Huyu kazaa na mtoto wa DR SLAA ..Kuchanganyikiwa, ila si ni kwa mfumo mzima?
Mbona anaitaja Chadema? Au ni maelekezo ya mjumbe wa kamati kuu Ndugai?