LGE2024 Katibu Mkuu NRA: Sasa hivi yamekuwa maigizo kila mtu anasema katekwa, Uchaguzi ulikuwa wa Huru na Haki

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Tukisema waislamu ni wapumbavu watu wanasema tunatukana ...tukisema waislamu awafai kuwa viongozi wapumbavu wanatuona wadini ....kumbe tunacho sema kina ushahidi madhubuti kabisa...kazi ya viongozi waislamu ni kuabudu mabeberu na waarabu.
Kwao mabeberu na waarabu ni kama mungu
 
Hiki chama Kiko Tz au Zenji?
Kwa hiyo waliotekwa na kuuwawa wengine kupotea jumla wanajiua wenyewe? Aliyetekwa na kwenye basi mchana kweupe Kisha kuuwawa alijiua mwenyewe, yule aliyetekwa na kupigwa risasu ya fuvu la kichwa Kisha kutupwa mbuga ya katavi ili aliwe na wanyama alijiteka mwenyew!!? Endeleeni kutuonyesha sura zenu za ndani tuwatambue
 
Huyu ni chawa sana na ni mjinga sana!
 
Katibu Mkuu wa Chama cha NRA, Hassan Kisabya, ametoa kauli kuhusu madai ya utekaji nchini wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.

Kisabya alidai kuwa baadhi ya watu wanatumia madai ya kutekwa kwa malengo ya kuchafua taswira ya nchi. Pia alihimiza kuondoa mtazamo wa kisiasa kama ugomvi, akisisitiza umuhimu wa mijadala yenye kujenga badala ya kugawanya taifa.

Your browser is not able to display this video.
 
Huyo kimbwenelehi atueleze alifaidika nani kwa utekaji na mauaji ya Mzee Kibao?

Atueleze akina Soka wapo wapi na kwa nini wanaichafua nchi kwa kutoonekana kwao?

Hawa watu wana tatizo la afya ya akili na serikali inawatumia against tranquility ya nchi
 
Unapoambiwa ugali unapunguza uwezo wa kung'amua mambo uwe unakubali. Hayo ni matokeo ya ugali maharage
 
Chama chenyewe ni NRA sijui, acha kupotezea watu muda.
Hao waigizaji ni wa kupuuzwa.
 
Unazani huyu ni zezeta, siyo zezeta hata kidogo na unaweza umashangaa anapokea mshahara kila mwezi amekwa tu hapo kwa kazi hiyo.
Basi anastahili kupigwa! Sisi raia tungekuwa wakali wasingerudia ujinga!
 
Vyama vingine vinatokeza kwenye matukio ya uchaguzi tu, sasa hiki nacho ni chama gani kinchoweza kuongea ugoro kama huu.
 
Hicho chama, kwa kuwa na aina ya viongozi wapigania tumbo kama huyo bwana, hakitafika popote. Na wala asiamini kwa kuungana na kufanya kazi ya kuwatetea watekaji na wauaji, ndipo atafanikiwa katika maisha. Huyu bila shaka, yupo kwenye hicho chama kama sehemu ya kufanyia utapeli ili aendeshe maisha. Hajali anamtetea jambazi au mtu mwema, kwake cha muhimu ni tumbo lake lijae.

Hivi kweli kuna mtu mwente akili, hata akili kidogo kabisa, anaweza kufikiria utekwaji wa Ali Kibao, kisha mauaji, utekaji wa akina Soka, utekwaji na kisha kumfanyia jaribio la kumwua Sativa, eti wanaoyalalamikia matukio hayo ya kiharamia, lengo lao ni kuchafua nchi!!

Watu wema wasichoke kupaza sauti dhidi ya ushetani huu unaofanywa na serikali kwa nia ya kuwatisha na kuwafumba midomo wanaoikosoa Serikali.
 
Kuna Tuvyama Kama 14 hivi Sidhani nao wana wafuasi. Tu-chama twa Mifukoni. Tu-chama Rafiki na Mkoloni Mweusi.
Hivyo vyama 14, ni vyama matumbo, vinavyohaingaika kuisifia CCM katika uovu ili virushiwe pesa ya kushibisha matumbo ya viongozi wake. Ni vyama jina, havina hata wanachama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…