Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Tukisema waislamu ni wapumbavu watu wanasema tunatukana ...tukisema waislamu awafai kuwa viongozi wapumbavu wanatuona wadini ....kumbe tunacho sema kina ushahidi madhubuti kabisa...kazi ya viongozi waislamu ni kuabudu mabeberu na waarabu.Wakuu,
Mwakani kazi ipo, kama watu kama hawa ndio wanaongoza wengine kugombea nafasi mbalimbali za kuwakilisha wananchi!
====
View attachment 3169250
Katibu Mkuu wa Chama cha NRA, Hassan Kisabya Almas amesema kuwa uongozi wa chama hicho umekaa, kujadili na kuona kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa ulikua huru haki, huku akisisitiza kuwa, wameyapokea matokeo ya uchaguzi huo kwa moyo mmoja, licha ya kutoambulia kiti hata kimoja miongoni mwa nafasi zaidi ya 230 walizosimamisha wagombea.
Aidha Kisabya ameonyesha kutokuwa na imani na baadhi ya watu wanaotoa taarifa za kutekwa na kupotea akidai kuwa imekuwa kama mchezo wa kuigiza kila mtu kudai ametekwa ama kupotea.
Kwao mabeberu na waarabu ni kama mungu