Katibu Mkuu TABOA; Watanzania Wajiandae Na Nauli Mpya

Katibu Mkuu TABOA; Watanzania Wajiandae Na Nauli Mpya

Sasa mimi kusafirisha mzigo kwa gharama zangu kunamuathiri vipi yeye mpaka kuongeza nauli?

Kama basi linaishia Mbezi Magufuli hata mzigo unatakiwa uishie hapo na mwenye mzigo ni jukumu lake kuhakikisha unafika anapokusudia kwa gharama zake na kwa ufahamu wangu ndivyo ilivyo kabla hata hawajaambiwa ni lazima kuishia Magufuli.
Huenda pale Magufuli hawana nafasi ya kuhifadhi mizigo mingi ni kwa ajili ya Ticket tu
 
Anamaanisha hivi ukipanda kwenye bus na mizigo yako bus likishafika Magufuli wale abiria wenye mizigo itabidi waende kuisubiria kwenye ofisi kuu ya bus either Shekilango au Magomeni au Kariakoo na kwa vile bus zao haziruhusiwi kwenda mjini hiyo mizigo wataipakia kwenye lori hadi ofisi kuu ya bus hapo ndipo gharama za uendeshaji zinapoongezeka
Kwanini wasifungue ofisi za mizigo hapo Magufuli stand.
 
Sasa mimi kusafirisha mzigo kwa gharama zangu kunamuathiri vipi yeye mpaka kuongeza nauli?

Kama basi linaishia Mbezi Magufuli hata mzigo unatakiwa uishie hapo na mwenye mzigo ni jukumu lake kuhakikisha unafika anapokusudia kwa gharama zake na kwa ufahamu wangu ndivyo ilivyo kabla hata hawajaambiwa ni lazima kuishia Magufuli.
Inaonekana Magufuli hakuna ofisi zao za kuhifadhi mizigo. Na Chalamila hataki kuona gari Urafiki. So itabidi mizigo ifaulishwe kwenye malori ifike kwenye ofisi zao.

Kiufupi atakayeumia ni sisi wananchi, wenye mabasi wataongeza bei tu kucover cost zao.

Zama za kulala stand usichelewe zinarudi tena.
 
Sijamuelewa kabisa.

Kwamba ukishapanda gari kutoka mwanza kuja Dar ukifika Magufuli wenye basi wanapaswa tena wakutafutie basi lingine wakupeleke labda gongo la mboto au chanika?

Mi ninavyoelewa Magufuli ni destination na mkifika kila abiria atajua yeye anafikaje anapoenda.

Ni kama ukipanda ndege tu ukishashuka kwa Nyerere unapokwenda ni jukumu lako kwa gharama zako sio jukumu la kampuni ya ndege uliyopanda.
Watu wanapenda tu kujidekeza.
 
Mimi bado sijaelewa wakuu, kwahiyo mtu kama yupo bunju anataka kwenda Tanga mpaka aende mbezi?
Au mtu Yuko Mbagala anataka kwenda Masasi mpaka aende mbezi? Nikipata hayo majibu nitachagua upande, TABOA au Chalamila.
Popote ulipo ukitaka basi la mkoa utalikuta mbezi maguful
Ndio sababu inatabiriwa kuwa gharama za mtu wa kawaida zitaongezeka.
 
Sijamuelewa kabisa.

Kwamba ukishapanda gari kutoka mwanza kuja Dar ukifika Magufuli wenye basi wanapaswa tena wakutafutie basi lingine wakupeleke labda gongo la mboto au chanika?

Mi ninavyoelewa Magufuli ni destination na mkifika kila abiria atajua yeye anafikaje anapoenda.

Ni kama ukipanda ndege tu ukishashuka kwa Nyerere unapokwenda ni jukumu lako kwa gharama zako sio jukumu la kampuni ya ndege uliyopanda.
Mabasi hubeba mizigo mingi sana, bahati mbaya hawana storage facilities hapo Magufuli Bus Terminal..walijisahau sana
 
Back
Top Bottom