mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 10,487
- 14,559
Huenda pale Magufuli hawana nafasi ya kuhifadhi mizigo mingi ni kwa ajili ya Ticket tuSasa mimi kusafirisha mzigo kwa gharama zangu kunamuathiri vipi yeye mpaka kuongeza nauli?
Kama basi linaishia Mbezi Magufuli hata mzigo unatakiwa uishie hapo na mwenye mzigo ni jukumu lake kuhakikisha unafika anapokusudia kwa gharama zake na kwa ufahamu wangu ndivyo ilivyo kabla hata hawajaambiwa ni lazima kuishia Magufuli.
Machokoraa mnakenua tu sio😁Malier wa mbezi luis mbezi magufuli mbezi kwa yusufu na viunga vyake MENO NJE
Kwanini wasifungue ofisi za mizigo hapo Magufuli stand.Anamaanisha hivi ukipanda kwenye bus na mizigo yako bus likishafika Magufuli wale abiria wenye mizigo itabidi waende kuisubiria kwenye ofisi kuu ya bus either Shekilango au Magomeni au Kariakoo na kwa vile bus zao haziruhusiwi kwenda mjini hiyo mizigo wataipakia kwenye lori hadi ofisi kuu ya bus hapo ndipo gharama za uendeshaji zinapoongezeka
Inaonekana Magufuli hakuna ofisi zao za kuhifadhi mizigo. Na Chalamila hataki kuona gari Urafiki. So itabidi mizigo ifaulishwe kwenye malori ifike kwenye ofisi zao.Sasa mimi kusafirisha mzigo kwa gharama zangu kunamuathiri vipi yeye mpaka kuongeza nauli?
Kama basi linaishia Mbezi Magufuli hata mzigo unatakiwa uishie hapo na mwenye mzigo ni jukumu lake kuhakikisha unafika anapokusudia kwa gharama zake na kwa ufahamu wangu ndivyo ilivyo kabla hata hawajaambiwa ni lazima kuishia Magufuli.
Watu wanapenda tu kujidekeza.Sijamuelewa kabisa.
Kwamba ukishapanda gari kutoka mwanza kuja Dar ukifika Magufuli wenye basi wanapaswa tena wakutafutie basi lingine wakupeleke labda gongo la mboto au chanika?
Mi ninavyoelewa Magufuli ni destination na mkifika kila abiria atajua yeye anafikaje anapoenda.
Ni kama ukipanda ndege tu ukishashuka kwa Nyerere unapokwenda ni jukumu lako kwa gharama zako sio jukumu la kampuni ya ndege uliyopanda.
Dah 😂Machokoraa mnakenua tu sio😁
Kwa gharama za nani?yaani wajenge mara mbili wakati washapata hasara tayari ya kujenga maofisi makubwa na warehouse halafu wajenge tena kwa kauli za mihemko za wanasiasa?Kwanini wasifungue ofisi za mizigo hapo Magufuli stand.
Nouma nanusu. Mbaya zaidi nauli inapandaga tu haijawahi kushuka!
Mambo ya serikali ndivyo yalivyo...Nouma nanusu. Mbaya zaidi nauli inapandaga tu haijawahi kushuka!
Dahh!Mambo ya serikali ndivyo yalivyo...
Popote ulipo ukitaka basi la mkoa utalikuta mbezi magufulMimi bado sijaelewa wakuu, kwahiyo mtu kama yupo bunju anataka kwenda Tanga mpaka aende mbezi?
Au mtu Yuko Mbagala anataka kwenda Masasi mpaka aende mbezi? Nikipata hayo majibu nitachagua upande, TABOA au Chalamila.
Mabasi hubeba mizigo mingi sana, bahati mbaya hawana storage facilities hapo Magufuli Bus Terminal..walijisahau sanaSijamuelewa kabisa.
Kwamba ukishapanda gari kutoka mwanza kuja Dar ukifika Magufuli wenye basi wanapaswa tena wakutafutie basi lingine wakupeleke labda gongo la mboto au chanika?
Mi ninavyoelewa Magufuli ni destination na mkifika kila abiria atajua yeye anafikaje anapoenda.
Ni kama ukipanda ndege tu ukishashuka kwa Nyerere unapokwenda ni jukumu lako kwa gharama zako sio jukumu la kampuni ya ndege uliyopanda.
Magufuli stand ina eneo kubwa sana. Watapata eneo la kuweka majengo ya mizigo.Stendi moja haitoshi kwa jiji la watu milioni 5