Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,887
- 7,673
tena muhariri atasema kwasababu zilizo nje uwezo wetu.Maelekezo kutoka juu yatakuja kabla ya kipindi kurushwa
Kuna kila dalili ya kituo cha ITV kuzingirwa na Makombora usiku kucha .Maelekezo kutoka juu yatakuja kabla ya kipindi kurushwa
Eti kuunguruma
Kwani Anaumwa Kifua kikuu!!
Ila Vibendera wachadema mungu aliwapa moyo wa Kujipa tumaini
Mnajitahidi aisee
Mkiwa Jf kama kweli vile
Kumbe Ma zero
Kijana mwenye akili nyingi,hekima, busara na upeo wa hali ya juu, John John Mnyika, Katibu mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kesho Jumatano tarehe 29.01.2020 saa tano asubuhi atakuwa hewani akitoa darasa la siasa, demokrasia na maendeleo.
Madini ya Mnyika hayapaswi kupitwa na kila Mtanzania anayejitambua.
Usikose View attachment 1338293
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii si ya kupitwa, kesho nikae off tu nikapate chakula cha ubongo.Kijana mwenye akili nyingi,hekima, busara na upeo wa hali ya juu, John John Mnyika, Katibu mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kesho Jumatano tarehe 29.01.2020 saa tano asubuhi atakuwa hewani akitoa darasa la siasa, demokrasia na maendeleo.
Madini ya Mnyika hayapaswi kupitwa na kila Mtanzania anayejitambua.
Usikose View attachment 1338293
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa akina team roho mbaya watazidi kuumbuka. MABALOZI WAPO MACHOMaelekezo kutoka juuu kesho kipindi kitahairishwa kwa sababu ambazo zipo nje ya uwezo Wa itv
Sent using Jamii Forums mobile app
AminaMungu ibariki Chadema
Tuliza mshono we Kibaka wa LumumbaEti kuunguruma
Kwani Anaumwa Kifua kikuu!!
Ila Vibendera wachadema mungu aliwapa moyo wa Kujipa tumaini
Mnajitahidi aisee
Mkiwa Jf kama kweli vile
Kumbe Ma zero
Nikutajie wabunge walioshindwa kwenye majimbo yao?