Katibu Mkuu Taifa CHADEMA, John Mnyika ataongea live kupitia kituo cha ITV asubuhi

Katibu Mkuu Taifa CHADEMA, John Mnyika ataongea live kupitia kituo cha ITV asubuhi

Kwani ajenda ya kusema tunataka Tume Huru ya Uchaguzi imeanzishwa na Mnyika?

Ninaposema hakuna jipya nina maana atakayoyasema tumeishayasikia tokea mwaka 1992.
Kwahiyo hana haja yakulisema hilo?
 
Kodi zetu Trillion 2,4 hazijapotea, ZIMEIBWA.
Polepole: LIJIZI kubwa / KUU kabisa lipo CCM.
 
Eti kuunguruma
Kwani Anaumwa Kifua kikuu!!
Ila Vibendera wachadema mungu aliwapa moyo wa Kujipa tumaini
Mnajitahidi aisee
Mkiwa Jf kama kweli vile
Kumbe Ma zero
Umebabaika hadi unatia aibu !
 
Back
Top Bottom