Katibu Mkuu Taifa CHADEMA, John Mnyika ataongea live kupitia kituo cha ITV asubuhi

Leo saa 5 asubuhi Mheshimiwa John Mnyika katibu mkuu taifa wa Chadema na mbunge wa kibamba leo atakuwa anaonge live kupitia kituo cha ITV asubuhi hii, je. Tutegemee nini kutoka kwake hasa ukizingatia kuwa ameteuliwa wakati chama chake kikiwa katika hari mbaya, au atarudisaha hari ya Dr Slaa
 
problem ni mtangazaji hana masuala ya akili ni upupu tu
 
Leo saa 5 asubuhi Mheshimiwa John Mnyika katibu mkuu taifa wa Chadema na mbunge wa kibamba leo atakuwa anaonge live kupitia kituo cha ITV asubuhi hii, je. Tutegemee nini kutoka kwake hasa ukizingatia kuwa ameteuliwa wakati chama chake kikiwa katika hari mbaya, au atarudisaha hari ya Dr Slaa
Bado maelekezo kutoka juu hayajatoka?? Mado masaa mawili na nusu tu
 
Hakuna jipya zaidi ya kusema ajenda yake ni Tume Huru ya Uchaguzi!
Hakika mkuu ndio hoja muhimu kwa Watanzania kuelekea uchaguzi mkuu 2020, kuepuka yale matusi, dhihaka,dhuluma ushindi wa 99%. Umoja na ustawi taifa ni muhimu sana kuliko matusi, ufedhuli,kiburi ,kujiwekea dole eti ushindi 99%.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe tume huru ya uchaguzi ipo? Maana unasema hilo sio jipya!
Kwani ajenda ya kusema tunataka Tume Huru ya Uchaguzi imeanzishwa na Mnyika?

Ninaposema hakuna jipya nina maana atakayoyasema tumeishayasikia tokea mwaka 1992.
 
Leo saa 5 asubuhi Mheshimiwa John Mnyika katibu mkuu taifa wa Chadema na mbunge wa kibamba leo atakuwa anaonge live kupitia kituo cha ITV asubuhi hii, je. Tutegemee nini kutoka kwake hasa ukizingatia kuwa ameteuliwa wakati chama chake kikiwa katika hari mbaya, au atarudisaha hari ya Dr Slaa
Hari = Hali
 
Kwani ajenda ya kusema tunataka Tume Huru ya Uchaguzi imeanzishwa na Mnyika?

Ninaposema hakuna jipya nina maana atakayoyasema tumeishayasikia tokea mwaka 1992.
Lolote unalolihitaji/kuliomba na hujalipata bado linakuwa bado jipya hadi litimizwapo.
 
Back
Top Bottom