PreGE2025 Katibu Mkuu TEC, Rev Dkt. Charles Kitima: Wasitupangie cha Kusema

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nakumbuka huko Rwanda mwaka 1994 mapadri walikuwa na mchango mkubwa kusababisha mauaji ya kimbari.
 
Nakumbuka huko Rwanda mwaka 1994 mapadri walikuwa na mchango mkubwa kusababisha mauaji ya kimbari.
Unataka kusema kumshambulia padri ni njia sahihi kuzuia yasitokee ya Rwanda.
 
Unataka kusema kumshambulia padri ni njia sahihi kuzuia yasitokee ya Rwanda.
Kumshambulia padri au kumshambulia sheikh au kumshambulia mtu yeyote huru sio njia sahihi.
Na hata tunapozungumza muda huu hakuna mtu mwenye ushahidi wa kwamba ni akina nani wamemshambulia huyo padri wala sababu ya kumshambulia ni nini!
Padri ni binadamu wa kawaida kama binadamu wengine.
Huko mkoani Kagera kuna padri ambaye anashikiliwa na vyombo vya dola kwa kesi ya mauaji ya albino jambo linaloonyesha kuwa padri anaweza kuwa na maadui kwa sababu noja au nyingine hadi itakapothibitishwa na vyombo vya dola ya kwamba
A. Kwanza kuna padri kashambuliwa ( kwa kuwa hadi muda huu ni tetesi tu toka kwa kahaba fulani anayeitwa maria sarungi)
B. Nani kumshambulia padri.
C. Kwanini kamshambulia.
 
Poor Timing, baada ya kuiambia serikali isiwapangie cha kusema kesho yake kashambuliwa, 😳😳😳
 
C.r.a.p....
 
You are right
 
Mmezingua timing yenu mbovu , na huyo mnaetaka kumbambikizia kama yale ya Mo dewji ndio mnazidi kuchafua hali ya hewa
 
Mmezingua timing yenu mbovu , na huyo mnaetaka kumbambikizia kama yale ya Mo dewji ndio mnazidi kuchafua hali ya hewa
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Tukio la saa nne usiku, saa mbili polisi wameshakamata mtu? Hii ni miujiza
 
Poor Timing, baada ya kuiambia serikali isiwapangie cha kusema kesho yake kashambuliwa, 😳😳😳
Bado huo sio ushahidi wa kuthibitisha watu waliomshambulia ni akina nani.
Lakini pia mimi ni mwalimu wa dini ya kiislamu.
Nina nafasi ya kutoa elimu ya dini kwa waislamu wa rika mbalimbali.
Bila kujali kwamba kiongozi wa nchi ni muumini wa dini gani, msimamo wangu tangu enzi za Magufuli ni kutoshauri kiongozi wa dini yoyote kujiingiza katika mambo yanayohusu uongozi wa nchi.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Tukio la saa nne usiku, saa mbili polisi wameshakamata mtu? Hii ni miujiza
Na wamechagua mtu mwenye jina ambalo halifichi Dini yake, Waislamu hawana shida na huyo Padri KITIMA hiyo canteen ilikuwa imejaa ma-padri wangemshambulia yeyote
 
Na wamechagua mtu mwenye jina ambalo halifichi Dini yake, Waislamu hawana shida na huyo Padri KITIMA hiyo canteen ilikuwa imejaa ma-padri wangemshambulia yeyote
Waislam hapa hawahusiki hata kwa 1%. πŸ˜€πŸ˜€
 
Mmezingua timing yenu mbovu , na huyo mnaetaka kumbambikizia kama yale ya Mo dewji ndio mnazidi kuchafua hali ya hewa
Wakati wa urais wa Kikwete tukiona na kusikia mengi lakini komandoo wa kisiasa Jakaya Kikwete alitawala hadi akamaliza vipindi vyake viwili na kelele za makanisani hazikumzuia kuendelea kulitumikia taifa kwa mujibu wa sheria.
Mama Samia hayuko peke yake. Kuna wazee wanaompa ushauri na kumpa moyo kwahiyo naamini atavuka na kuyashinda majaribu yanayoelekezwa kwake na atamaliza vipindi vyake viwili inshaa Allaah.
 
We mnafiki tu wale wale. Mkialikwa kwenye Ubwabwa wa Nchi si mnaenda kuwaombea? Sasa unasemaje hujiingizi? Hata hivyo ishajulikana uislam wa bongo una mashaka sana muulize Shekh Ponda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…