Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Katibu mkuu wa chama cha ACT Wazalendo ndugu Ado Shaibu, amewaasa wana ACT kufurahia na kitendo cha dola kula njama za kutaka kuiangamiza CHADEMA, akasema kuwa Dola ikishamalizana na CHADEMA wanaofuata kushughulikiwa ni wao.
Pia Ndugu Ado Shaibu akasema kuwa wana ACT wajizatiti ipasavyo kupambana ma Watekaji nchini. Akawataka wawe madhubuti kuwashuhhulikia watekaji.
Video yake unaweza kuitizama hapa:
View: https://youtu.be/BfITOQD34kg?si=sWbi1IayhEGrIvoC