Me I and my self
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,077
- 8,828
Hatukuelewe kabisa huenda samaki akapiga mbizi nyikani...
Wapishi wanapika na inaoneka chakula kitaiva vyema na wakiletewa wale itathibitisha nani kapika kitamu.
Wapishi wanapika na inaoneka chakula kitaiva vyema na wakiletewa wale itathibitisha nani kapika kitamu.
Kwa Bashiru Ally.
Membe ni mtu mdogo sana kwa CCM na wala sio tishio ila wenyewe ndio mnampaisha.
Jambo la pili CCM imekufa na dalili zipo wazi.Ukiwa Muislamu unajua wazi kuwa wakati wa kuswaliwa maiti huwa tunasema "Mleteni maiti" na hatusemi mleteni Rashid wala Juma.
Kinachoendelea nchini kote si kazi nzuri ya CCM ila ni kazi nzuri ya JPM(Sijui atanielewa???)