Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Ngoja tusubiri. Ila Mange Kimambi hana hamu na ninyi. Naye Membe asipokuwa makini akawasikiliza, atakuiwa kama Mange tu!Ndiyo hivyo mjiandae kisaikolojia, na wengine mrudi kwenu Burundi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tusubiri. Ila Mange Kimambi hana hamu na ninyi. Naye Membe asipokuwa makini akawasikiliza, atakuiwa kama Mange tu!Ndiyo hivyo mjiandae kisaikolojia, na wengine mrudi kwenu Burundi.
Hata akichukua fomu atakatwa, akishakatwa akagombee CHADEMA Kama watakua bado wanapokea oil chafu.Tayari Membe ni kaa la moto kwa ccm ndiyo maana Bashiri anaweweseka
Mbona yeye kule Zanzibar amekiuka utaratibu wa m/kiti wake kukataza i!
!
Kumbe chama hakifati utaratibu?
Kwani Mzee Membe amekosa nini???