Katibu Mkuu wa CCM atoa onyo kwa Membe akimtaka kutokuwa juu ya katiba ya chama

Hatukuelewe kabisa huenda samaki akapiga mbizi nyikani...
Wapishi wanapika na inaoneka chakula kitaiva vyema na wakiletewa wale itathibitisha nani kapika kitamu.
 
"CCM tuko makini kulinda utamaduni wetu"

Kwa kauli hii CCM na Bashiru bado wanaogopa Membe atataka kumchallenge Meko kwenye kupeperusha bendera ya CCM 2020.
That is it. There is no way things will work on Membe's side from outside in. kama hana support ya ndani, basi kaula wa chuya
 
Ujenzi wa Taifa au kuleta maendeleo hayawezi kuletwa na mtu mmoja bila ushirikishwaji wa makundi yote ya watanzania.Jamani kama RAILA ODINGA na KENYATTA wanapeana mikono wanasema tujenge Kenya pamoja sisi TANZANIA kwa nini tusiwe na maridhiano,na kutunga katiba mpya ambayo italeta matumaini mapya kwa watanzania wote na kuondoa hisia za ubaguzi na ubinafsi
 
CCM wanazijua sana siasa. Uchaguzi Mkuu umekaribia. Membe anaandaliwa 2020 kuwa Lowassa wa 2015.

Upinzani kuweni macho, msidanganyike mkaicheza tena hii ngoma ya CCM. Mtakuwa wajinga sasa kurudia makosa.
 
Kwani Membe kafanya nini Bw. Bashiru?
 
Eti jinai/kosa alifi aahh Ibara ya 46 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano mbona inaondoa na kuua jinai?
 
Hawa ndio alikua anawashangaà Dr Lwaitama
 
Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka 2020, Kwa hiyo aheshimiwe.
Na Mgombea uwenyekiti Chadema ni yule yule Mbowe! Chama kinachotetea demokrasia nchini Tanzania wakati chenyewe hakina demokrasia! Ahahahahahah!
 


Utamaduni wa chama kuwa MWENEYEKITI HACHAGULIWI, bali anateuliwa ?
 
Hapo ndio ninapoipendeaga ccm!

Ccm inaweza kuwepo bila Membe, lakini Membe hawezi kuwa Membe bila ccm. Siyo kama wale wengine kwamba bila Mbowe hakuna chadema
[emoji23][emoji23][emoji23]Vituko vya wana chadema bwana.
 
Lakini kwa ufahamu wangu kiasi "utaratibu sio sheria", kwahyo muda wowote unaweza ukavunja utaratibu ili kunusuru kitu bila madhara na kushtakiwa popote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…