Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aandika barua ya kujiuzulu

DAB kuwa katibu mkuu wa 11 huku Happy akipelekwa uenezi.
 
Hakika Mkuu P,nakukubali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tengeneza mahakama yako ,umshitaki huko
Pamoja na ukweli kwamba hawezi kutengeneza mahakama yake lakini alichokiongea ni ukweli mtupu, sisi hatuna mahakama ila tuna kangaroo courts tu.

Zaidi ya nusu ya majaji tulionao hawana kabisa sifa ya kuwa majaji ila wanabahatika kuwa majaji kwa sababu ya kuwa ni wanachama wa chama kinachotawala. Period.

Hawana kabisa sifa ya kuwa hata mahakimu wa mikoa katika nchi kama Kenya. Bure kabisa.
 
Nimeamini Difie Mlawa AKa kigogo Media ana Nguvu kama za jini aisee. Alimgoa Januari Makamba Pale Nishat sasa Kangoa Katibu Mkuu
 
Tetesi na chanzo ni online blog

Leo muhusika alikua mwenyekiti wa kikao Cha Sekretariet ya Chama ( kikao Cha maandalizi ya vikao vya Cc na Nec)

Mabadiliko kwenye vyama vya Siasa ni jambo la kawaida nashangaa wanaolipwa kumkashifu Ndg Chongolo
Habari za saa hizi bloooo........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…