Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Ile milioni 4 ya fidia bado ipo?Na wewe hupendi hilo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile milioni 4 ya fidia bado ipo?Na wewe hupendi hilo?
Vipi, mwenyekiti macho ku mchuzi? Yeye lini anaachia?Hata mimi siamini mpaka dak hii hakuna uthibitisho wa chama chake
We ni mwanachama pia, waulize viongozi wako wakuhakikishie!Hata mimi siamini mpaka dak hii hakuna uthibitisho wa chama chake
We ajuza CCM inakusaidia nini? Unanufaikaje na udini pale CCM?Vipi, mwenyekiti macho ku mchuzi? Yeye lini anaachia?
Simba kuna kocha mpya na wasaidizi wake, unaelewa hilo?Hili jambo lina mambo mengi nyuma yake.
Kwanza, kulikuwa na habari za ''kumchafua' ambazo ni kazi ya 'ndani ya CCM kupitia Vijana wao'
Pili, si kawaida barua ya kujiuzulu kuwekwa wazi. Ikiwa ameitoa Chongolo basi alikusudia kueleza Umma jambo.
Ikiwa imevujishwa na Ofisi, ni katika jitihada za kujisaifsha kwamba kilichotokea ni takwa la Chongo mwenyewe
Je, hili la Chongolo halikutarajiwa? Ukimsikiliza DAB siku alipokwenda Ofisi ndogo ya Chama alisema '' ... yeye anakosea na akikosea anaomba Msamha na kisha alimtaja Chongolo kwa kumsifia'' Hili lililonyesha kwamba kulikuwa na Ufa.
Kuondoka kwa Chongo hakuwezi kutengwa na Ujio wa DAB hata kama kuna sababu nyingine
Moja ya 'zana' anazotumia DAB ni vyombo vya habari kujitangaza. Hili alianza nalo tangu akiwa RC na Ofisi katika private media. Yote ilikuwa kuweka vyombo vya habari vya Umma na Private katika 'himaya yake.
Kazi ya kumchafua Daniel mitandaoni imefanywa na vijana , sijui ni wapi lakini ni ngumu kusema si ''vijana wake''
Tatizo ndani ya CCM kuna fukuto kubwa sana si kwa mbio za 2025 bali makundi kinzania. Ujio wa DAB ni tatizo kubwa zaidi kwasababu anahusishwa na uchafu lakini pia anakingiwa kifua. Swali kuna nani anakingiwa kifua namna hiyo?
DAB alikingiwa kifua na Mwendazake na hata baada. Wengi wa wanaCCM walikuwa wahanga pia wa utawala.
Hofu inayojaa ni kurejea zama zile ambazo DAB alikuwa kama naibu mkuu. Tangu ameingia hofu ipo wazi.
Anayeweza kurudisha nidhamu hawezi kutoka ndani ya timu ya leo, lazima atoke nje kama alivyokotwa Bushiri.
Kwa uoande mwingine, hili linaweza kuwa nusura ya Taifa , dalili za Punda kufa ni kupiga mateke!
Pascal Mayalla JokaKuu
Na wewe hiyo inakuuma sana?Hakuna mtu mwenye akili timamu ataweza kufanya kazi na zero brain kama Makonda
Chama kimebaki kuwa kusanyiko la majangili ya mali za umma.Na wewe hiyo inakuuma sana?
Performance ya Chongolo kwenye chama ikekuwa chini sana. Chama kimekosa mvuto, mikutano hadi kusombelea watu. Acha apumzike.Unajua fika kuwa wakati Makonda akiwa RC wa Dar es Salaam na Chongolo ni DC wa Kibindoni walikuwa hawapatani kwani kuna Mmoja kati yao ana Akili na Mmoja ni Mpumbavu Kiasili halafu leo tena unaowaleta pamoja ndani ya Chama Tawala ( CCM ) huku kwa Makusudi, Mahaba na kupenda Kudanganya na Wanafiki unampa Jeuri na Upendo wa wazi wazi Mtu ambaye ndani ya Katiba ya Chama ni mdogo kuliko Katibu Mkuu na unataka Katibu Mkuu amnyenyekee yule anayetakiwa Kumyenyekea Yeye.
Kwa hapa / kwa hili kama ni la kweli ninampongeza sana Bwana Chongolo kwani alichofanyiwa ilikuwa ni Dharau isiyovumilika.
Na najua Chongolo ana Watu wake ndani ya System ya Nchi na Chama ( CCM ) ambao wamemdokeza mapema kuwa Kikao cha leo ( cha CCM ) anaenda Kung'olewa hivyo nae kawa very smart kwa kuwawahi kwa kupeleka Barua ya Kujiuzuru hivyo hatongolewa tena hii leo ( Jumanne ) Kikaoni CCM kwa Mipasho ya Paje Kizimkazi Zanzibar.
Wewe umeiweza?CCM nchi ishawashinda, kilichobakia ni ubishi tu kama ubishi mwingine!
Na wewe hiyo inakuumiza moyo?Chama kimebaki kuwa kusanyiko la majangili ya mali za umma.
Ngoja Tusubiri tuone !!Umefikiri vyema...
Hii hoja yako, likely, imeunusa ukweli wa maamuzi ya huyu KM wenu...
Nafikiri pia, baadhi ya viongozi wakuu wa CCM hawakubaliani Paul Makonda a.k.a DAB kupewa nafasi hiyo ndani ya chama kutokana na tatizo la uadilifu wa kimaadili alilonalo huyu uliyemwita "dogo" yaani Paul Makonda..
Mimi sitashangaa hata Makamu Mwenyekiti wenu Abdulhaman Kinana akitupa jezi pia..!!
Ajuza wewe huna akili hata kidogoNa wewe hiyo linakuumiza moyo?
Vipi, masanduku ya kura hayatoshi,
Kwenye chama chenu una nafasi hata ya kufagia vyoo?Ajuza wewe huna akili hata kidogo
Usichoke taf. Ukiwaachia moja kwa moja utajikuta umetumwa mtaroni. Wafuatilia ili uweze hata kukimbia ukiona wanapigana ili usiwe shahidiSijui ni sifuatilii siasa siku hizi au nimezichoka, sielewi!
Kama Chongolo angekuwa hataki kufanya kazi na DAB basi angejiuzulu toka kipindi yeye ni mkuu wa wilaya na Makonda ni RC ! Lakini hadi sasa sidhani kama sababu ni Bashite…Chongolo atakuwa awezi siasa maana kwenye siasa lazima uwe tayari kufanya kazi na yeyote yule ata aliyekutukana ..sasa kama amejiuzulu kisa DAB basi ni mmoja ya watu wajinga!Baada tu ya DAB kuteuliwa ile video ikarushwa mitandaoni, binafsi nilipoiona nilihisi hili lingetokea. Na siyo kwa huyu Chogolo tu, ni wengi ndani ya CCM hawakupendezwa na uamuzi wa Mwenyekiti wao kumteua DAB kuwa Mwewnezi wa chama, na wengi waliongea chini chini kupinga uteuzi huo.
Lakini nadhani na Mwenyekiti ana lipa fadhila kwa DAB kiaina. Kuna video ili pita pia ikionyesha DAB alivyo mpigia chepuo kuwa Mgombea mwenza wa hayati Magufuli, toka kwenye U-spika wa bunge la katiba hadi kuwa mgombea mwenza na hatimaye leo Mwenyekiti wa CCM taifa.
Baada ya huyu hatujui nani atafuata, ila ccm wengi hawakumfurahia DAB kurudishwa hata kidogo.
Wanagekul ana na chupa hukoKwani Babati wanasemaje....
Huyo ni chapati tu labda ajiuzulu uenyekiti wa mtaa huko IsanguBado ya Lucas mwashambwa naye ajiuzuru tu.