Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aandika barua ya kujiuzulu

Hivi kulikuwa na haja kutukana kiasi hiki?

Sasa hivi unajisikiaje
 
Kwamba Nchimbi ndo atachukua nafasi ya Chongolo ama?
 
Mkuu lakini barua yake aliyoiandika anasema sababu za kujiuzulu ni “kuchafuliwa mtandaoni”

Je huyo Konda boy ndo aliyemchafua?
 
Maupuuzi ya ccm hatuna haja nayo mkuu
 
CCM nchi ishawashinda, kilichobakia ni ubishi tu kama ubishi mwingine!
ubishi kama wa mzee Mugabe ndio unaendelea nchini na kwakuwa hawataki chama chochote cha upinzani ki gain nguvu wataendelea kuwepo tu sababu hakuna mbadala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…