Pre GE2025 Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi aiagiza Serikali kuwaachia Viongozi wa CHADEMA
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amemwagiza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Daniel Sillo kuzungumza na waziri wake, Hamad Masauni, ili kuona namna ya kuwaachia viongozi wa Chadema waliokamatwa mkoani Mbeya, akiwamo mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe.

Dk Nchimbi ameeleza hayo leo Jumatatu Agosti 12, 2024 alipozungumza kwenye mkutano wa hadhara katika Kata ya Katoro iliyopo mkoani Geita anakoendelea na ziara yake akitokea mkoani Kagera.

Amesema alifanya jitihada za kuwatafuta viongozi wenzake wa vyama vingine vya siasa, ili wawe na mazungumzo kama vyama vya siasa, aliwasiliana na baadhi ya makatibu wakuu, hata hivyo alipata taarifa wengine wamekamatwa mkoani Mbeya.

"Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, ongea na Waziri, tunaomba muone uwezekano wa viongozi wa vyama vya siasa waliokamatwa kule Mbeya waachiwe huru.

"Mtupe nafasi na sisi wanasiasa tuzungumze, siyo mambo yote yanatatuliwa kisheria, mengine ni ya kisiasa," amesema Dk Nchimbi akimwelekeza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani aliyeambatana naye kwenye ziara hiyo.

Viongozi wanaodaiwa kushikiliwa na Jeshi la Polisi ni Mbowe, Katibu Mkuu John Mnyika, Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu, Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Chadema (Bavicha), John Pambalu na viongozi wengine wa baraza hilo.

Pia wamo viongozi wa Bavicha, Twaha Mwaipaya, Moza Ally, Deusdedith Soka na wengine.

Wengine wanaodaiwa kukamatwa ni Wakili Deogratias Mahinyila na waandishi wa habari wa Jambo Tv ambao ni Ramadhan Khamis na Fadhil Kirundwa.

Pia soma=> John Mrema: Wanachama na Viongozi wa CHADEMA waliokamatwa hadi sasa ni 427
Kutafuta Kiki tu , hapakua na maana yoyote fanya kilichofanyika
 
Hivi ,naibu sipika anadhani hilo ndo jawabu lake

Samweli sitta na ana makinda sijui nafasi ya usipika atakuja kuziba nani
 
Dr nchimbi ameshindwa kumpa maelekezo na ushauri Ndugu Masauni wakiwa ziarani Hadi asubiri muda akiwa jukwaani ndipo amuelekeze?
Sinema ndiyo hizo
Maajabu hayaishi bongo
Maajabu yatakwisha vipi wakati kila stelingi wa sinema anataka ya kwake ionekane ni bora zaidi!

Nchimbi anaiona hatari kubwa inayotokana na stelingi huyu Masauni; sasa anatafuta njia ya kumpiku na sinema yake mwenyewe!
 
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amemwagiza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Daniel Sillo kuzungumza na waziri wake, Hamad Masauni, ili kuona namna ya kuwaachia viongozi wa Chadema waliokamatwa mkoani Mbeya, akiwamo mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe.

Dk Nchimbi ameeleza hayo leo Jumatatu Agosti 12, 2024 alipozungumza kwenye mkutano wa hadhara katika Kata ya Katoro iliyopo mkoani Geita anakoendelea na ziara yake akitokea mkoani Kagera.

Amesema alifanya jitihada za kuwatafuta viongozi wenzake wa vyama vingine vya siasa, ili wawe na mazungumzo kama vyama vya siasa, aliwasiliana na baadhi ya makatibu wakuu, hata hivyo alipata taarifa wengine wamekamatwa mkoani Mbeya.

"Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, ongea na Waziri, tunaomba muone uwezekano wa viongozi wa vyama vya siasa waliokamatwa kule Mbeya waachiwe huru.

Pia soma=> John Mrema: Wanachama na Viongozi wa CHADEMA waliokamatwa hadi sasa ni 427

"Mtupe nafasi na sisi wanasiasa tuzungumze, siyo mambo yote yanatatuliwa kisheria, mengine ni ya kisiasa," amesema Dk Nchimbi akimwelekeza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani aliyeambatana naye kwenye ziara hiyo.

Viongozi wanaodaiwa kushikiliwa na Jeshi la Polisi ni Mbowe, Katibu Mkuu John Mnyika, Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu, Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Chadema (Bavicha), John Pambalu na viongozi wengine wa baraza hilo.

Pia wamo viongozi wa Bavicha, Twaha Mwaipaya, Moza Ally, Deusdedith Soka na wengine.

Wengine wanaodaiwa kukamatwa ni Wakili Deogratias Mahinyila na waandishi wa habari wa Jambo Tv ambao ni Ramadhan Khamis na Fadhil Kirundwa.
Maigizo ya waigizaji
 
atachukua point iwapo tu IGO atajiuzuru au kuondolewa madarakani
IGP ana maboko mengi kuna la yule binti kubakwa ameshindwa kuwakamata wahusika wakuu kuna hili la kuwatia ndani viongoz wa upinzan..

Haya yote yanaenda kinyume na zile R4 za Mama
 
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amemwagiza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Daniel Sillo kuzungumza na waziri wake, Hamad Masauni, ili kuona namna ya kuwaachia viongozi wa Chadema waliokamatwa mkoani Mbeya, akiwamo mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe.
Kwanini kiongozi mkubwa apitie kwa msaidizi badala ya kumwambia straight waziri mwenyewe
 
CCM wanaogopa kila ka shughuli ka CDM , yaani ka mkutano kadogo tu ka vijana wa CDM; CCM wote jicho juu.

KWa nini mnashindwa kujiamnini - mnaishi wa wasiwasi namna hii.
 
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amemwagiza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Daniel Sillo kuzungumza na waziri wake, Hamad Masauni, ili kuona namna ya kuwaachia viongozi wa Chadema waliokamatwa mkoani Mbeya, akiwamo mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe.

Dk Nchimbi ameeleza hayo leo Jumatatu Agosti 12, 2024 alipozungumza kwenye mkutano wa hadhara katika Kata ya Katoro iliyopo mkoani Geita anakoendelea na ziara yake akitokea mkoani Kagera.

Amesema alifanya jitihada za kuwatafuta viongozi wenzake wa vyama vingine vya siasa, ili wawe na mazungumzo kama vyama vya siasa, aliwasiliana na baadhi ya makatibu wakuu, hata hivyo alipata taarifa wengine wamekamatwa mkoani Mbeya.

"Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, ongea na Waziri, tunaomba muone uwezekano wa viongozi wa vyama vya siasa waliokamatwa kule Mbeya waachiwe huru.

Pia soma=> John Mrema: Wanachama na Viongozi wa CHADEMA waliokamatwa hadi sasa ni 427

"Mtupe nafasi na sisi wanasiasa tuzungumze, siyo mambo yote yanatatuliwa kisheria, mengine ni ya kisiasa," amesema Dk Nchimbi akimwelekeza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani aliyeambatana naye kwenye ziara hiyo.

Viongozi wanaodaiwa kushikiliwa na Jeshi la Polisi ni Mbowe, Katibu Mkuu John Mnyika, Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu, Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Chadema (Bavicha), John Pambalu na viongozi wengine wa baraza hilo.

Pia wamo viongozi wa Bavicha, Twaha Mwaipaya, Moza Ally, Deusdedith Soka na wengine.

Wengine wanaodaiwa kukamatwa ni Wakili Deogratias Mahinyila na waandishi wa habari wa Jambo Tv ambao ni Ramadhan Khamis na Fadhil Kirundwa.
Nchi hii Ina mambo ya hajabu kabisa Nchinbi ni nani hata aiamuru selekali kuwaachia?
Haya mambo tumeyachoka ya kujitekenya Kisha mkacheka wenyewe
 
Yaani Polisi hawajui ni lipi kosa la kukamata na kutumia maguvu na lipi sio kosa mpaka waambiwe hovyo sana kabisa..
Polisi kalibia wote huwa hawanaga hakili ndo maana hata ajira zao watu hawazitaki, imagine mtu anajiunga na jeshi la polisi hata ABC za utawala, uzalendo, hekima, na marifa huna, Kama ni kozi ngumu zinawabadilisha hakili zengu ziwe za kushikiwa mbona jwtz(tpdf) ndo training(kozi) zao ngumu na hatari kiafya ila Wanajua wanachokifanya kwa taifa lao na angalau wao wanajua thamani ya taifa na wanchi waliyoko taifani!, ndo maana kumbe (chombo cha ulinzi😂 Polisi ) na jeshi la wananchi jwtz(Tpdf) haziivi kabisa kivile!
 
Ndiyo maana nasema kinachoendelea kwenye sakata hili ni hujuma kwa Rais Samia ili kuharibu image yake hapa ndani na kimataifa. Kuna vita baridi ndani ya CCM na hii ni mbinu ya kisayansi iliyotumiwa na kundi hasimu kufikia lengo lao huku wakionekana kama wanaisadia CCM kwa kuidhoofisha Chadema ambayo ndiyo chama pekee kinachoonesha msuli wa kupambana na CCM .
Kwani mambo yanapo tendeka ndani ya nchi waziri mwenye dhamana yuko wapi, je rais wa nchi huwa naye haoni, je washauri wake, pia kamisina wa usalama wa nchi, Tz bhana oda inatolewa kimiyakimiya na uongozi wa juu kwa masirahi ya kisiasa na Chama na sio kwajiri ya Taifa la kesho ndo maana mimi naamini hakili ya mtu( binadamu) huwa ina phase 3 ya growth yani acceleration phase, constant phase na deceleration phase na vijana wengi wako kwa acceleration phase so hivyo vijana ndo taifa la kesho
 
Sawa ila mwenyekiti wa cdm walishafunga ndoa na chama tawala kwa kufutiwa kesi ya ugaidi na kuna madai ameongwa kama alivyosema Tundu.

Kilichofanyika pale mwenyekiti kujifanya wapo pamoja na kundi la Tundu akamatwe lengo kupoteza maboya watanzania.
Think tank wa buku7 akichangia, 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom