Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Wale jamaa wenye matenga hawajazuia kwa hofu ya kuwepo vitendo vya kigaidi?Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika amefunga ndoa Takatifu
Habari zaidi za mnuso na mengineyo zitakujia
View attachment 3001735