Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kumbe hiyo nayo ni ndoa!Kuna sogea tuishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe hiyo nayo ni ndoa!Kuna sogea tuishi
Ndiyo. Pia Kanisa linabariki Sogea Tukae kuwa ndoa TakatifuKumbe hiyo nayo ni ndoa!
We mcheppuko acha makasirikoViti maalumu watapumua kidogo!
Trako utampa la kwako!Mwanamke gani huyo. Katibu mkuu katika zama hizi anaoa mwanamke asiye na tako au kalazimishwa na mbowe kumuoa huyo binti?
Nikuulize wa kike ni mchepuko akiwa wa kiume anaitwaje!We mcheppuko acha makasiriko
Aisee bonge la demu, hakika mwamba kapata mke. Ila nilichokiona kumbe hiki chama mfu hakikuwa na viongozi yaani akili zenu chama mfu chadema mnakubali kuongozwa na mtu ambaye hata bei ya chumvi hajui, maana inaonekana Mh. Mnyika alikuwa bado anaishi kwa wazazi wakeTaarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika amefunga ndoa Takatifu
Habari zaidi za mnuso na mengineyo zitakujia
View attachment 3001735
Alikua mwanachama wa KATAA NDOA amehasi chamaKumbe hakuwa ameoa, was a senior bachelor.
mke hata chura hanaTaarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika amefunga ndoa Takatifu
Habari zaidi za mnuso na mengineyo zitakujia
View attachment 3001735
Utampa lako mkuu maana ndio kazi yako hiyo kutoa tako.Trako utampa la kwako!
Aisee, nimecheka kwa nguvu sanaMwanamke gani huyo. Katibu mkuu katika zama hizi anaoa mwanamke asiye na tako au kalazimishwa na mbowe kumuoa huyo binti?
then be specific, avoid disgraceful postsNdoa za zamani huwezi fananisha na hizi za sasa
Ahahahahaha.Mwanamke gani huyo. Katibu mkuu katika zama hizi anaoa mwanamke asiye na tako au kalazimishwa na mbowe kumuoa huyo binti?
Ndoa ni utapeli mkuu kimbia kabisaHongera kwa katibu.
Mke ni jambo jema.
Hofu yangu ni wale wa kataandoa.
Umecheka nini? Si unaona jamaa kachukua flat screen. Atakuwa kashauriwa na mbowe sio bure.Ahahahahaha.
Dahh!!
Nimecheka sana kwakwel nimeshindwa kujizuia
Umecheka nini sasa mkuu. Si unaona shemeji yake Erythrocyte alivyo flat mkuu? Atakuwa kachaguliwa na Mbowe huuo Mke.Aisee, nimecheka kwa nguvu sana