Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika afunga ndoa

Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika afunga ndoa

Mnyika kaoa akiwa Mzee Babu kabisa

Ngoja. Nimuimbie wimbo huu hapo chini


Anameremeta ,anametemeta
Babu Mnyika anameremeta
Anameremeta
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika amefunga ndoa Takatifu

Habari zaidi za mnuso na mengineyo zitakujia

View attachment 3001735
Aisee bonge la demu, hakika mwamba kapata mke. Ila nilichokiona kumbe hiki chama mfu hakikuwa na viongozi yaani akili zenu chama mfu chadema mnakubali kuongozwa na mtu ambaye hata bei ya chumvi hajui, maana inaonekana Mh. Mnyika alikuwa bado anaishi kwa wazazi wake
 
Ila nilichojifunza kwenye hiyo ndoa ni kuwa duniani Kuna watu wabahili akiwemo Mnyika aisee kashindwa hata kununua suti ya mtumba ya elfu 10 avae aisee huyo mke anayo, nyota njema au mbaya huonekana asubuhi nafikiri kaiona
 
Back
Top Bottom